KIPI KINATIA AIBU

Msomi hewa

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
768
1,066
.......1- Kukutwa unajaribisha viatu vya Mgeni
2- Mgeni kukutwa anaongeza maji ya Ugali
 
ungesema kipi kinatia aibu zaidi maana vyote vinatia aibu....

ila bora uongeze maji uonekane una njaa kuliko kuonekana mwizi
 
Back
Top Bottom