Search results

  1. K

    Watanzania mchawi wetu ni CCM

    KAKA UNAONGELEA,HAKI GANI?KATIBA IPI?HII ILOFUNGWA SANDA?KATIBA HAIFUATWI WALA KUHESHIMIWA NA WATAWALA,UTAPATA HAKI GANI?NAKUOMBA JITAFAKARI WW MWENYEWE UPO KUNDI GANI?LA MJINGA AU MPUMBAVU NI HAYO TU.
  2. K

    Mzee wa Upako, CHADEMA hawana muda wa kukuchafua, Mungu ameamua kuanika tabia yako

    Acha upotoshaji fisadi ni KIKWETE na genge la wezi mluobaki CCM.
  3. K

    Watanzania mchawi wetu ni CCM

    Nimeamini ukilaza hàuna dawa, kama huna macho basi hata masikio huna ?
  4. K

    Watanzania mchawi wetu ni CCM

    Ni kweli mm ndo niliua tembo mpaka faru john, pia mm ndonilisafirisha twiga,haikutosha nilibeba pesa za escrow kwenye mifuko ya sandarusi,pia ndo nilileta richmond baadae nikaibadili jina ikawa symbion,upo?
  5. K

    Watanzania mchawi wetu ni CCM

    Ukweli lazima usemwe,ujinga miongoni mwetu, ufukara,maradhi,elimu duni, lishe duni haya yote yameletwa na CCM ili kumtawala mtanzania mnyonge.Hata ije serikali awamu ya kumi chini ya CCM tusitegemee watatujali, mfano mh. Sana analalamika kila uchafu na eti amesahau kuwa uchafu wote na majipu...
  6. K

    Ndugu zangu Watanzania huu si wakati wa kulaumiana

    Amani iwe nanyi, Tanzania tulipata uhuru kutoka kwa Mwingereza na tangu uhuru mpaka leo naandika hapa tupo chini ya utawala Wa CCM chini ya mfumo wa vyama vingi kuanzia 1992 kwa mwongozo wa katiba yetu ya mwaka 1977 na marekebisho ya mara kwa mara(viraka). Sina nia ya kuwasimanga CCM,maana wote...
  7. K

    CCM ni chaka la wezi, majangili na mafisadi

    Amani iwe nanyi, kweli CCM ni sikio la kufa, ujangili CCM, Lugumi CCM, Escrow, Meremeta Kagoda, vitambulisho feki vya taifa, Faru John, huu wizi wote unafanyika chini ya baraka za vigogo wa CCM na wanajuana na kulindana. Mkuu wa kaya amekuwa hodari wa kutumbua vipele majipu anayaogopa eti hataki...
  8. K

    Mahakama zetu hazipo huru

    Kwa hili la kesi ya mbunge Lema inadhihirisha muhimili mahakama umeingiliwa na CCM. Nijuavyo mimi kesi ambayo haina dhamana ni mauaji, sasa inakuwa vipi mahakama inapokea hoja dhaifu za CCM na kumnyima mtu haki ya kikatiba ya dhamana? Mbona majangili mliyapa dhamana? Au kwa kuwa majangili yale...
  9. K

    Umasikini wa watanzania umesababishwa na CCM

    CCM mwogopeni mungu,umasikini tulionao umesababishwa na sera zenu mbovu,wizi na ufisadi. Acheni kuturubuni eti CCM ni kimbilio la wanyonge hiki ni chama cha majambazi,majangili na mafisadi nani anabisha? Hali ngumu ya maisha ni zao la CCM.
  10. K

    Kadiri Lowassa anavyojiimarisha CHADEMA, ndivyo chama kinavyofifia na kupotea

    TATIXO NI CSONJE KUZUIA SIASA HADI 2020
  11. K

    Ukweli mchungu,CCM ndio wametufikisha hapa.

    Tusishangae ya musa, bado ya firauni maana watanzania ugumu wa maisha tulionao ni shabaha na malengo ya ccm ili waendelee kuturawala. Leo umeme juu kisa IPTL january inakuja tusubiri mfumuko wa bei hasa kwa mazao ya chakula. Hakuna haja ya kulalamika tuendelee kuisoma namba, hapa kazi tu.
  12. K

    Hivi Lowassa anafanya Siasa kama nani?

    KILAZA KTK UBORA WAKO.
  13. K

    EWURA yatangaza kuongeza bei ya umeme kwa asilimia 8.5

    Ndugu amani iwe nanyi, hapa kazi2,kupanda umeme ni matokeo na ishara kwamba serikali chini ya CCM,imechoka na haina nia njema na watanzania. 8.5% ni kubwa mno yaani bado mpaka leo tunaingia2017 bado Tanesco wanatumia mafuta kuzalisha umeme na kuulangua kwa wananchi kwa Bei kubwa. Huku mtaani...
  14. K

    Ni nani alie msafi ndani ya CCM?

    Amani iwe nanyi, napenda kuuliza je ni nani alie msafi ndani ya chama dola? Kuanzia tunapata uhuru mpaka sasa. Maana naona tunarudi nyuma baada ya kwenda mbele na hawa wakoloni weusi"CCM"wanaendelea kulindana na kujilimbikizia mali huku Mamilioni ya watanganyika wakiogelea kwenye bahari ya...
  15. K

    Watumishi wa umma wahitaji salary slip wakope kupeleka watoto shule

    NI KWELI MM NI MMOJA WA WAATHIRIKA SINA HAKIKA KM WATAKUSIKIA AU KUKUELEWA,MAANA WANASEMAGA HAPA KAZI TU.
  16. K

    CCM wote ni mafisadi, mahakama ya mafisadi haiwezi kuwa na meno

    Kwani mkuu lowasa katoka chama gani? Si huko ccm? Bora yy kakimbia chama cha majangilli yaani "CCM "
  17. K

    Tetesi: Waziri Maghembe kutumbuliwa

    Atakuwa labda malaika
  18. K

    CCM wote ni mafisadi, mahakama ya mafisadi haiwezi kuwa na meno

    Ndugu zangu amani iwe nanyi, Kutokana na tabia za kifisadi serikali zilizoasisiwa na Chama Cha Mapinduzi hasa baada ya kung'atua kwa mwalimu Nyerere ni vigumu sana mahakama ya mafisadi kupambana na mfumo (serikali) ambao upo juu ya mifumo yote ya nchi hii. Kwa upande wangu nashauri ili...
Back
Top Bottom