Search results

  1. Rais wa Wasukuma

    Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Sasa sisi tutajuaje sasa kama ataachana nayo. Muulize mhusika atakupa jibu
  2. Rais wa Wasukuma

    Natafuta mume

    Ushapata?
  3. Rais wa Wasukuma

    Rais Magufuli ashangaa Majaji kwenda likizo Ulaya kwa gharama zao, amtaka Jaji Mkuu kuchunguza

    Asiturudishe enzi za nyerere mtu kununua radio tu mpaka unaundiwa tume. Msukuma mwenzetu ushamba wake umepitiliza...
  4. Rais wa Wasukuma

    Dalili nyingi mwilini na vipimo sijapata

    Kipimo cha kisukari sizani kama kinafika hata elfu kumi. Akapime
  5. Rais wa Wasukuma

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    "Njoo kasulu aje Shinyanga" ni wife wangu kapangiwa kasulu nahitaj mtu wa kubarishana nae ili arud Shy. Idara S/m Mawasiliano 0788375124 au aje pm
  6. Rais wa Wasukuma

    Mwananchi Communications waongea na waandishi juu ya mwandishi wao kupotea, wapanga kuandamana hadi kwa IGP

    Inaumiza sana mtu mzima kupotea hivhiv. Anyway kwa yeyote atakaemuona atoe taarifa kituo cha polisi. Tunamhitaji Azory aungane na familia yake na asaidie kujenga Taifa letu. #BringBackAzoryGwanda
  7. Rais wa Wasukuma

    Nafasi za kazi kwa walimu wa shule za msingi na sekondari

    Afu nadhani waliohitimu 2014 walishapangiwa vituo
  8. Rais wa Wasukuma

    Ivi uyu mdada yupoje jamani

    Nipe namba yame nimwambie akukome kabisa
  9. Rais wa Wasukuma

    Hivi haya maisha mpaka lini jamani?

    Pole sana mkuu. Ajira siku hizi ni ngumu usitegemee sana kuajiriwa. Pambana ujiajiri mwenyewe haya maisha siyo ya kuyaonea aibu. Fikiri nje ya box fursa zipo nyingi tu usibague kazi kwa kuangalia elimu yako. Kuna jamaa alianza kufuga kuku na bachelor yake saivi hataman hata kuajiliwa. Kumbuka...
  10. Rais wa Wasukuma

    Viwanja Viwanja vinauzwa - Dodoma

    Wakuu habari za muda huu, Tangazo hapo juu linajieleza. Viwanja vimebaki vitano. Viko Mkoa wa Dodoma maeneo ya Miyuji karibu na hospital ya St. Gema. Size ya kiwanja ni 30mx40m bei ni 5m. Umeme na maji vipo jirani sana i.e less than 150m. Usafiri wa Daladala upo, huduma zote za kijamii zipo...
  11. Rais wa Wasukuma

    Rafiki yangu kampenda dada mwenye Sickle Cell

    Hiyo ya udumavu wa akili sio kweli. Mm nimesoma na mtu mwenye shida kama hiyo alikuwa very bright. Na saiv ni Daktar wa binadam na yuko above 30yrs now na afya yake iko njema kbsa
Back
Top Bottom