Viwanja Viwanja vinauzwa - Dodoma

Viwanja Viwanja vinauzwa - Dodoma

Joined
Nov 3, 2016
Posts
55
Reaction score
53
Wakuu habari za muda huu,

Tangazo hapo juu linajieleza. Viwanja vimebaki vitano. Viko Mkoa wa Dodoma maeneo ya Miyuji karibu na hospital ya St. Gema. Size ya kiwanja ni 30mx40m bei ni 5m. Umeme na maji vipo jirani sana i.e less than 150m. Usafiri wa Daladala upo, huduma zote za kijamii zipo jirani kabisa.

Karibuni tuendeleze makao makuu ya nchi ya viwanda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom