Search results

  1. S

    Tatizo la WhatsApp kupoteza magroup na conversation

    Habari wadau hivi inakuaje kila ukibadilisha simu what's app inaanza upya yani kama vile hukuwa na account inatoa magroup yote na kila kitu, yani ni kama unanza moja
  2. S

    Kubadilisha aspect ratio kwenye Netflix

    Habari wakuu nawezaje kujaza picha wakati ina play kwenye Netflix maana haijaa kwenye screen..
  3. S

    Msaada wa ku register Netflix

    Wakuu nimepata changamoto kwenye ku sign in Netflix kila napomalizia kwenye credit card inagoma tatizo nini kila napowema CVV inaniambia Error in method payment
  4. S

    Kuweka Google playstore iwe certified

    Habari wako nimepata changamoto ktk playstore simu yangu naambiwa ipo uncertified imekua ngumu ku stream dstv naambiwa my device is not certified,masaada tafadhali..
  5. S

    Msaada wa kuonesha icon ya recycle bin zote mbili ktk window 10

    Habari wakuu, Natumia window 10 katika PC tatizo limekuja nimedelete folder imeenda kwenye recycle bin ambayo haionekani ktk desktop icon na ukienda upande wa setting ili uweke idisplay kwenye icon za mbele inatokea recycle bin moja ambayo iko empty ile nyingine haionekani msaada tafadhali
  6. S

    Msaada wa jinsi ya kufunga Dish la Canal

    Habari wakuu, Naombeni video au maelezeo ya kufunga Dish la Canal.
  7. S

    Msaada wa kunlock halotel mifi zte model r6601

    Habari wakuu,mwenye ujuzi wa ku unlock mifi ya halotel itumie mitandao yote msaada tafadhali.
  8. S

    ELimu kuhusu TSTV africa channel.

    Habari wakuu, kama kuna mtu mwenye huelewa kuhusu jinsi ya kupata channel za TSTV Africa msaada tafadhali.
  9. S

    Msaada wa kupata dubai one,mbc action frequency zake na uelekeo wa dish.

    Habari wanajamvi, naomba msaada kupata channel za dubai one mbc action frequency zake na uelekeo wa dish.
  10. S

    MSAADA WA KUPATA DUBAI ONE UELEKEO WA DISH NA FREQUENCY ZAKE

    Habari wanajamvi naomba msaada wakujua uelekeo wa dish dogo la KU ili kupata Dubai one,MBC Action na frequency zake.
  11. S

    Apk za kustream movies na mpira.

    Habari wanajamii, naombeni msaada wa apk za kustream movies na mpira. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    MSAADA WA KU FLASH HUAWEI MODEM E8231S-1

    Habari za saa hizi, naomba msaada wa software inayoweza kuflash huawei modem e8231s-1 wingle.
  13. S

    Software ya kuflash Huawei Ascend G510-U0251

    Habari ya saa hizi wanajamii, naomba msaada software ninayoweza kuflash huawei model hiyo maana kwa hard reset inagoma na ukiwasha ina leta notification nyingi za kustop software karibia zote na ni unstall whatsapp au facebook inazima na kujiwasha.
  14. S

    Jinsi ya kutoa connect to itunes kwenye iphone 4s bila itunes

    Habari za sahii, kama kuna yeyoyote anajua jinsi ya kutoa connect to itunes kwenye iphone 4s msaada tafadhali kwa software nyingine mballi na itunes au kwa njia nyingine...maana kwa itunes ina restore data kwa kudai apple id..
  15. S

    Uwezakano wa kuongeza speed ya internet kwenye modem ya 3G au laptop

    Habarini wakuu kuna uwezako wa kuongeza speed ya internet maana ni speed ipo low sana download 200kps na upload 100kps ni kama tupo kijijijini kumbe tupo mjini hapahapa na line zote, au ipi ambayo tunayoweza kuongeza.
  16. S

    Msaada wa kuformat flash ya samsung 64GB exfat

    Wakuu naombeni msaada wa kuformat flash aina ya samsung ina ukubwa wa 64GB na kila nikiweka kwenye pc inataka ni format nikifornat inagoma.
  17. S

    Jinsi ya kuangalia local channels kwa kodi kwenye pc.

    Habarini wanajamii naomba msaada wa namna ya kuangalia local channels kwa kutumia kodi kwenye pc.
  18. S

    Msaada wa ku download biblia katika pc

    Habari wanajamii...naomba msaada wa kupata biblia ya kiswahili katika pc natumia window 10.
  19. S

    Msaada wa app ya window 10 inayo support whatsapp mbali na bluestack

    Habari ya saa hii, wakuu naomba msaada wa android emulators nyepesi inayo support whatsapp mbali na bluestack maana ni nzito kufunguka katika window 10 pc.
  20. S

    Window 10 activator

    Habari wanajamii, kwa yeyote mwenye kujua namna ya ku activate window 10 msaada wenu tafadhari.
Back
Top Bottom