spleeingiant
Senior Member
- Oct 24, 2016
- 138
- 44
Habari wako nimepata changamoto ktk playstore simu yangu naambiwa ipo uncertified imekua ngumu ku stream dstv naambiwa my device is not certified,masaada tafadhali..
Boss nimejaribu ku register bado haitokiTembelea hapa mkuu
How to Fix the "Device is not Certified by Google" Error
Are you having trouble with signing in to your Google account? Can't access the Google Play Store or use Google apps like Gmail, Maps, Play Music, or Photos? Seeing a "device is not certified by Google" error? Here's how to fix that.www.xda-developers.com
Tuliwahi izungumzia hii issue humu.
Jinsi ya ku certify simu zitakazofungiwa kutumia service za google (playstore)
kuna msg nyingi zinasambaa whatsapp na hata humu jukwaani kwamba simu ambazo hazijakuwa certified na google kutumia service zake zitafungiwa hapo baadae. hii habari ni ya kweli, muda mrefu Google amewaonya watengeneza simu lakini naona wengi hawatekelezi hili, simu zinakuwa hazijatestiwa wao...www.jamiiforums.com
Kuna error yoyote unapata?Boss nimejaribu ku register bado haitoki
Yes ktk ku register naambiwa already register na ukifungua Google playstore ipo vilevile uncertifiedKuna error yoyote unapata?
Habari chief , naomba msaada nikifungua Instagram video inajizoom na kuleta rangi ya kijani na picha haionekani yote hasa upande wenye rangi naomba msaada wa kutatua tatizo hiliTembelea hapa mkuu
How to Fix the "Device is not Certified by Google" Error
Are you having trouble with signing in to your Google account? Can't access the Google Play Store or use Google apps like Gmail, Maps, Play Music, or Photos? Seeing a "device is not certified by Google" error? Here's how to fix that.www.xda-developers.com
Tuliwahi izungumzia hii issue humu.
Jinsi ya ku certify simu zitakazofungiwa kutumia service za google (playstore)
kuna msg nyingi zinasambaa whatsapp na hata humu jukwaani kwamba simu ambazo hazijakuwa certified na google kutumia service zake zitafungiwa hapo baadae. hii habari ni ya kweli, muda mrefu Google amewaonya watengeneza simu lakini naona wengi hawatekelezi hili, simu zinakuwa hazijatestiwa wao...www.jamiiforums.com
Hio video unaweka full screen ama? Sijaelewa hapa.Habari chief , naomba msaada nikifungua Instagram video inajizoom na kuleta rangi ya kijani na picha haionekani yote hasa upande wenye rangi naomba msaada wa kutatua tatizo hili
Hapana nikitaka kuangalia tu video inajiziba kwa rangi ya kijaniHio video unaweka full screen ama? Sijaelewa hapa.
Nadhani inajizoom automaticHapana nikitaka kuangalia tu video inajiziba kwa rangi ya kijani
Anza na torubleshoot ndogo ndogoNadhani inajizoom automatic
Thanks brotherAnza na torubleshoot ndogo ndogo
-nenda playstore angalia kama kuna update ya insta
-clear cache (gusa kwa nguvu icon ya insta kisha nenda app info kisha storage kisha cache kisha clear)