Search results

  1. mahingah

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Gari yangu Ni Toyota cheser GX100, Gari ikiwa imewaka kunamlio unatoka Kama mshale WA saa unavyotembea Kwa haraka, tatizo Ni nini?
  2. mahingah

    Mwenye kujua kuhusu gari Aina ya TOYOTA CHASER ENGINE 4S

    Nimechukua Ile gari ndugu zangu,ipo vizuri marekebisho machache sana
  3. mahingah

    Mfahamu Baharia wa meli, Idara za meli na nafasi za mabaharia katika meli

    Nina degree ya Logistics and Transport Management nimepata pale NIT, nataka kuwa baharia course gani ya ubaharia itanifaa?
  4. mahingah

    Nahitaji paka wa kufuga

    Paka kweli wa kuniuzia mimi, naomba nipatie tu, nitakupoza pesa ya vocha
  5. mahingah

    Nahitaji paka wa kufuga

    Nipo Kigamboni, mwenye paka wadogo nahitaji, asiwe rangi nyeusi kama kachanganya rangi poa.
  6. mahingah

    Mwandishi Oscar Oscar achukua fomu kugombea nafasi ya Urais TFF

    Punguza chuki mtoto wa kiume,pesa zake na ww tafuta zako
  7. mahingah

    Nahisi mshawahi kumuona Nelson Ntombela Raia wa Afrika Kusini kwenye mitandao ya kijamii?

    Bila shaka umekutana sana na picha hii katika mitandao, mfahamu mhusika wa picha hiyo. Nelson ni mkazi wa Kagiso, Krugersdorp nje ya mji wa Johannesburg, amezaliwa April 6, 1987 akiwa ni mtoto wa mwisho kati ya watoto saba. Nelson amekulia katika mitaa ya wahuni, alikuwa muhuni pia wakati wa...
  8. mahingah

    Nahitaji pikipiki ya kununua aina ya boxer

    0655166597 nitafute faster
  9. mahingah

    China imesaidia sana kuongeza matajiri hapa Tanzania

    Wewe Jamaa unaonekana hauna kitu, tenda ngapi selikari inawapa wazawa lkn wanachofanya hakionekani, mfano Airport ya mbeya alipewa mzawa hadi Leo Bado anajenga toka 2014, barabara kutoka njombe to Ludewa alipewa mzawa tena kipande cha KM 50 kachukua zaidi ya miaka mitano,wakandarasi wazawa...
  10. mahingah

    Mo nikipenda...

    Tena second year,mtu mwenye majukumu hawezi kuandika hivyo
  11. mahingah

    Mo nikipenda...

    Chuo mnafungua lini,baada ya kunywa chai ya field umepata nguvu ya kanzisha uzi
  12. mahingah

    Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

    Hapo Kenyata ashawapiga pesa ya kutosha
  13. mahingah

    Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

    Nenda google andika Dar es Salaam Commuter train, watakuletea hadi picha
Back
Top Bottom