Search results

  1. asanteelimu2016

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, Kigamboni, Toangoma(Kituo funcity)

    Kiwanja kinauzwa, Kigamboni, Toangoma (Kituo funcity) mtaa wa malela kipo jirani na nyumba ya karoti. Ukubwa Meter 26.5 * 20 Kina slope upande mmoja haiathiti ujenzi wako. Bei milioni 6 (Neg Kidogo) MAHITAJI MUHIMU Umbali kutoka barabara ya lami ni Kilometa 1. Barabara za kuingia kiwanjani...
  2. asanteelimu2016

    Nauza Canon 7D bei nzuri

    Habari yako mwana jamii. Naiuza camera aina ya 7d Plain pamoja na lens standard ya 18-55 mm kwa Tsh 1,200,000. Camera bado ni mpya sana, tangu inunuliwe dukani imefanya kazi mara mbili tu na ina miezi miwili peke yake. Inarecord HD video mpaka 1080 quality. Sababu ya kuiuza ni kuwa nahitaji...
  3. asanteelimu2016

    Tecno Camon 9 | Tsh 120,000 for sale

    Internal storage Gb 8 Network 4g Used like new haina tatizo lolote wala crack Price 120,000 0654846084 Ukilipia 125,000 nakupa na memorycard ya gb 32 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. asanteelimu2016

    Nielekezeni Ikulu na nenda na moyo wangu; ndani ya kitabu kimoja

    Unapenda kusoma riwaya? Zenye mpango wa kipelelezi, mapenzi na visasi? Nina vitabu vitatu tofauti MIFUPA MIKAVU Tsh 13,000 LUPITA 10,000 MUUZA MIHOGO Tsh 10,000 Ukihitaji vyote vitatu kwa pamoja ni Tsh 25,000 Kitabu cha Mifupa mikavu kina riwaya tatu zenye kisa cha kisasi, maisha ya maumivu...
  5. asanteelimu2016

    NIELEKEZENI IKULU NA NENDA NA MOYO WANGU NDANI YA KITABU KIMOJA

    Unapenda kusoma riwaya? Zenye mpango wa kipelelezi, mapenzi na visasi? Nina vitabu vitatu tofauti MIFUPA MIKAVU Tsh 13,000 LUPITA 10,000 MUUZA MIHOGO Tsh 10,000 Ukihitaji vyote vitatu kwa pamoja ni Tsh 25,000 Kitabu cha Mifupa mikavu kina riwaya tatu zenye kisa cha kisasi, maisha ya maumivu...
  6. asanteelimu2016

    Gari la maji taka

    Kwa Dar es salaam wilaya ya Temeke gari la maji taka linapatikana wapi? Na gharama zake zikoje Tafadhali naomba msaada wenu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. asanteelimu2016

    Choo changu kimejaa, nahitaji gari la maji taka

    Wapendwa habari ya asubuhi. Naomba kufahamu kwa mwenye kufahamu gharama za unyonyaji wa maji taka katika choo kilichojaa. Au kwa anayewafahamu wanaofanya shughuli ya aina hii. Natanguliza shukrani zangu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. asanteelimu2016

    Njoo nikuuzie Hiace ya mbezi-ubungo namba C kwa Milioni 8.8

    Gari imenyooka, haina cheni. Njoo na fundi ukague uondoke na mchuma. Engine 2l Desel Seat 15 inaingia mpaka watu 18-21 Mawasiliano -0654846084 Gari ni manual Iko mbezi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. asanteelimu2016

    Publishers wa vitabu vya riwaya na yeyote anayehusika.

    Kama kichwa cha thread kilivyoandikwa, natafuta mtu mwenye kuweza kufanya naye biashara ya kuchapisha kitabu changu kwa ubora na maelewano yatakayofaa. Kwa mawasiliano 0654846084 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. asanteelimu2016

    Nauza kiwanja kipo Toangoma

    Nauza kiwanja kilichopo toangoma kwa yatima(Funcity), kutoka barabara ya lami ni KM 1. -Ukubwa wa kiwanja ni 15*20 -Bei Milioni 4. Hakijapimwa ila kina hati ya makabidhiano -Viko viwanja viwili nimekata kutoka kwenye Robo heka hivyo ninaweza kukukatia ukubwa tofauti kadiri unavyotaka lakini...
  11. asanteelimu2016

    Nauza kiwanja kilichopo Toangoma

    Nauza kiwanja kilichopo toangoma kwa yatima(Funcity), kutoka barabara ya lami ni KM 1. -Ukubwa wa kiwanja ni 20*20 -Bei Milioni 4.8 Hakijapimwa ila kina hati ya makabidhiano -Viko viwanja viwili nimekata kutoka kwenye Robo heka hivyo ninaweza kukukatia ukubwa tofauti kadiri unavyotaka lakini...
  12. asanteelimu2016

    Kiwanja kinauzwa, kipo Toangoma

    Kiwanja hiki kipo Toangoma njia ya kutoka kongowe kwenda Kigamboni. Stend ya kwa Yatima ilipo funcity. Kutoka barabara kuu mpaka kilipo kiwanja ni kilometa 1.3 Njia za mitaa zimezingatia kuweka mji katika mpango mzuri. Huduma za kijamii kama maji na umeme vi karibu kabisa. Ukubwa wa kiwanja...
  13. asanteelimu2016

    Nauza kiwanja changu mwenyewe milioni 15

    Habarini wadau wa jukwaa hili ? Nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa robo heka(35*35) kwa bei ya Tsh Milioni 15. Kiwanja kinapatikana Toangoma njia ya kwenda kigamboni kutoka kongowe. Karibu na funcity kilometa 1.5 kutoka barabara kuu ya lami. Umeme na maji vimefika visima vya maji matamu...
  14. asanteelimu2016

    Jiko la gesi la kioo, Asali ya nyuki wadogo lita 4 na Laptop Hp

    Vitu hivi nauza kwa bei ya chini sana Jiko lenye plate mbili na meza ya kioo. Tsh 60,000 Asali ya nyuki wadogo lita 4 Tsh 30,000 Laptop 230,000 Hdd 250 Ram 4gb Processor Duo core Mawasiliano 0683936934 Kwa Dar es salaam nitakuletea popote ulipo.
  15. asanteelimu2016

    INAUZWA Asali ya nyuki wadogo 30,000 kwa lita 4

    Pichani ni asali ya nyuki wadogo halisi kwa asilimia 100 Ukitaka kupima kabla hujachukua ni sawa UKITAKA KUJUA UHALISIA >chachu >nyepesi >rangi ya kahawia MWENYE kuhitaji 0683936934 Bei Tsh 30,000 Napatikana Dar es salaam, mbagala. Naweza kukuletea popote pale ulipo kwa hapa Dar es salaam.
  16. asanteelimu2016

    Computer4Sale Nunua laptop kwa bei nafuu

    Nauza laptop kwa bei ya kutupwa kutokana na ukata unaonikabili. SPECIFICATION Processor 2duo core Ram 4gb Hdd 250 Dvd rw Bei ni sh 270,000 maelewano yapo kwa seriously buyer kwa mawasiliano 0683936934
  17. asanteelimu2016

    NANUNUA FLAT SCREEN USED NCH 22-24

    Mambo mwenye flat screen nch 22 - 24 naomba tuwasiliane nahitaji sana bajeti yangu ni 200,000 mkononi plz serious kama unayo nicheki 0654846084 kama sipatikani naomba unipm
  18. asanteelimu2016

    Wapi wanauza viti vya wachungaji?

    Naomba kuuliza kwa wale mafundi seremala na wenye uelewa wa karibu na mafundi seremala, ni wapi wanauza viti vya kuchunga mahususi kwa ajili ya kanisani na maalumu na wachungaji? Naomba mwenye ufahamu anijuze kuhusu walipo mafundi hao
  19. asanteelimu2016

    HTC M8 inauzwa kwa bei ya kutupwa

    Bei ni sh 250,000 maelewano yapo Simu ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote, wala mchubuko kwa mahitaji ya simu hii 0717327191 Inapatikana chuo cha uhasibu TIA
  20. asanteelimu2016

    Natafuta anayeuza maziwa fresh ya ng'ombe Dar

    Kama kichwa cha thread kinavyojieleza nahitaji maziwa ya ng'ombe fresh Lita tano kwa kila wiki. Mimi niko mbagala 0652074590
Back
Top Bottom