asanteelimu2016
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 248
- 147
Kiwanja hiki kipo Toangoma njia ya kutoka kongowe kwenda Kigamboni. Stend ya kwa Yatima ilipo funcity.
Kutoka barabara kuu mpaka kilipo kiwanja ni kilometa 1.3
Njia za mitaa zimezingatia kuweka mji katika mpango mzuri. Huduma za kijamii kama maji na umeme vi karibu kabisa.
Ukubwa wa kiwanja ni Merter 35 kwa 35. Kiwanja hakijapimwa wala hakina hati kina hati ya serikali ya mtaa pia vile vile kiwanja hakina slope na si eneo linalotuama maji.
Bei yake ni Tsh 15,000,000
Kwa mawasiliano 0654846084
Kwa atakayenitafutia mteja wa kiwanja ana 1,500,000 cash mara baada ya kukabidhiwa fedha