asanteelimu2016
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 248
- 146
Bei ni sh 250,000 maelewano yapo
Simu ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote, wala mchubuko kwa mahitaji ya simu hii
0717327191
Inapatikana chuo cha uhasibu TIA
Bahati mbaya picha niliyotaka kuituma kioo sikuwa nimeichagua katika zile nilizotaka kutuma nitatuma pundeKwa picha hizo unatia wasiwasi mbona kioo hatukioni na umepiga pembeni ambako hakuna faida
Naiona HALL C Kama si HALL B maana hakunaga mwanga kama huu kaza pia mkuu![]()
Bei ni sh 250,000 maelewano yapo
Simu ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote, wala mchubuko kwa mahitaji ya simu hii
0717327191
Inapatikana chuo cha uhasibu TIA
![]()
![]()