asanteelimu2016
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 248
- 147
Habari yako mwana jamii.
Naiuza camera aina ya 7d Plain pamoja na lens standard ya 18-55 mm kwa Tsh 1,200,000.
Camera bado ni mpya sana, tangu inunuliwe dukani imefanya kazi mara mbili tu na ina miezi miwili peke yake.
Inarecord HD video mpaka 1080 quality.
Sababu ya kuiuza ni kuwa nahitaji pesa ya kulipa madeni yanayonikabili na kupunguza ukali wa maisha.
Gharama ya aina hii ya camera dukani ni Tsh 1,450,000
Utakapochukua kwangu utapata na faida ya card cf ya GB 32 speed 80 bure. Ambapo hii peke yake ni Tsh 120,000.
Wasiliana na mimi kwa namba hii: 0654846084
Sent using Jamii Forums mobile app