asanteelimu2016
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 248
- 147
Habarini wadau wa jukwaa hili ?
Nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa robo heka(35*35) kwa bei ya Tsh Milioni 15.
Kiwanja kinapatikana Toangoma njia ya kwenda kigamboni kutoka kongowe. Karibu na funcity kilometa 1.5 kutoka barabara kuu ya lami.
Umeme na maji vimefika visima vya maji matamu vipo, sio maji ya chumvi. Kiwanja nilipewa zawadi na wazazi wangu kwa kukatiwa sehemu kubwa ya ardhi yao. Hivyo kina mkataba wa makabidhiano tu bila hata, hakijapimwa.
Ukiridhika na maelezo na unataka kukiona baada ya kununua endapo tukiafikiana tutaandikishiana serikali ya mtaa. Kiwanja hakina mgogoro wowote na kipo sehemu tambarale.
Kwa mawasiliano zaidi
+255 (0) 654 846 084