asanteelimu2016
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 248
- 146
Naomba kuuliza kwa wale mafundi seremala na wenye uelewa wa karibu na mafundi seremala, ni wapi wanauza viti vya kuchunga mahususi kwa ajili ya kanisani na maalumu na wachungaji?
Naomba mwenye ufahamu anijuze kuhusu walipo mafundi hao
Naomba mwenye ufahamu anijuze kuhusu walipo mafundi hao