Nauza kiwanja kipo Toangoma

asanteelimu2016

JF-Expert Member
Sep 23, 2016
235
127
Nauza kiwanja kilichopo toangoma kwa yatima(Funcity), kutoka barabara ya lami ni KM 1.
-Ukubwa wa kiwanja ni 15*20
-Bei Milioni 4.
Hakijapimwa ila kina hati ya makabidhiano
-Viko viwanja viwili nimekata kutoka kwenye Robo heka hivyo ninaweza kukukatia ukubwa tofauti kadiri unavyotaka lakini zaidi ya 15*20 ni lazima fedha iongezeka na ile tajwa huko juu.

SIFA ZA ENEO

-Eneo limejengeka majumba ya kufa mtu.
-Mitaa imetengenezwa kimpango yenye barabara za kukufikisha mpaka kiliko kiwanja.
-Umeme umefika
-Maji ya visima virefu maji matamu
-Hakuna tindiga wala maji kutuama wakati wa mvua.
-Eneo la kiwanja unachokatiwa na utakachotaka ukatiwe zaidi ni Tambarale

Kwa mawasiliano zaidi
0654846084
PhotoGrid_1544702988152.jpeg
IMG-20181213-WA0001.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom