Search results

  1. dendaboy

    Ninapopiga simu inachukua muda zaidi ku search

    habari zenu wadau kwa siku tatu nyuma ninapopiga sm huchukua muda mrefu zaidi ku search kabla sm kuita ama kukutaarfu vinginevyo vipi hii ni kwangu tu ama kuna mdau anakutana nayo? na inasababishwa na nini Sent using Jamii Forums mobile app
  2. dendaboy

    Msaada: Jinsi ya kurestore Galaxy Prime+

    Habari zenu wakuu nahitaji kuirestore Galaxy Grand Prime+ ila sijaona pa kuanzia wala kumalizia msaada wenu tafadhalini. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. dendaboy

    Msaada: Baada ya kuroot simu imeanza kuwa slow

    nipo na jelly ben tecno h5 baada ya kuiroot nikaona nitoe system apps ambazo huwa sizitumii na nyingine nikaamua kuzibadilisha nikatoa phone call ya system nikaweka treu caller pia nikatoa system app ya sms nikaweka go sms lakini kila nilipobandua system apps nilipata onyo hili removing...
  4. dendaboy

    Msaada; Nataka ku-upgrade android version 4.2

    habari wadau natumia jelly bean version 4.2 ni rooted nataka ni upgrade kwenda version 4.4 kitkat ama v5 lollipop ama hata v6 mashamelow ikiwezelana msaada pls
  5. dendaboy

    Msaada kuhusu call recoder

    Nahitaji kujuzwa ni app gani itaniwezesha ku recod simu ninazopiga ama kupigiwa kwa imo na watsapp tafadhali.
  6. dendaboy

    Msaada kuhusu call recoder

    Naitaji kujuzwa ni app gani ambayo itaniwezesha ku recod sim ninazo piga ama kupigiwa kwa imo na wattsapp tafadhali
  7. dendaboy

    Kwa fani hii ya forck operator wapi kazi ipo?

    Kwa mwenye kujua kazi zilipo kwa hii ya forck 'lift operator' tufahamishane.
  8. dendaboy

    Kama hili limeshindikana mengi basi mengi yatashindikana

    Tulipokua kwenye harakati za kampeni kuelekea uchaguzi ahadi nyingi zilitolewa moja wapo ni uundwaji wa mahakama ya ufisadi. Baada ya uchaguzi uliomuweka magu madarakani tumeona ahadi kadhaa zikitekelezwa ikiwa ni pamoja na uundwaji wa mahakama ya mafisadi Pongezi kwako mh rais kwa kutekeleza...
  9. dendaboy

    Kwanini 'Customer care' wa mitandao ya simu wanataka tujitambulishe wakati tumejisajili?

    Ma customer care wa mitandao yote ya simu unapowapigia kuomba huduma wakishapokea wataanza kujitambulisha na pia kutaka na wewe ujitambulishe. Wewe ni nani na unapiga simu ukiwa wapi na vitu kama hivyo, sasa swala la wao kujitambulisha ni sawa ili unapopewa huduma walau ujue ni nani...
  10. dendaboy

    VIPI NITA BLOCK CONTACT IMO

    naomba kufaham namna ya kuzuia mawasiliano na mtu kupitia imo yani asiweze kunipigia wala kunitumia msg.
  11. dendaboy

    MSAADA

    nna tecno H5 ninapo mpigia mtu ina sachi ussd code running....lakini sim inaita na tunasikilizana ili baada ya maaongezi sim yaikatiki sababu bado ina sachi ussd code msaada kwa anaejua tafadhali
  12. dendaboy

    VIPI WADAU JAMAA WAMESTUKA?

    kwa muda mrefu kidogo nilikua napata kuona bure baadhi ya stesheni za startimes kupitia code no 530 570 578 ila wiki ya pili zimepotea na kila niki sachi hazipatikani tena ama wamestuka?
  13. dendaboy

    Ulaji wa kitunguu baada ya kula chakula

    Jana nilikaribishwa kuungana na familia ya rafiki yangu mmoja kwa ajili ya chakula cha mchana vitu vilivyo andaliwa mezani ni pamoja na sahani iliyokua na vitunguu maji vikiwa vimemenywa na kukatwa sikua nimeelewa dhumuni la kuwepo vitunguu vile. Baada ya kumaliza kula sasa ndipo walianza kila...
  14. dendaboy

    Wakenya wanawezaje wakati sisi tunashindwa??

    Tanganyika tulipata uhuru mwaka 61 kenya wao walipata uhuru mwaka 63 desemba ni kitu gani kimesababisha hawa wametuacha hivi ? sisi mpaka leo kutoka mbagala kwenda mwenge muda unaotumia ni wa kwenda morogoro yatakwisha lini haya?
Back
Top Bottom