Kwa fani hii ya forck operator wapi kazi ipo?

dendaboy

JF-Expert Member
Sep 15, 2016
1,085
742
Kwa mwenye kujua kazi zilipo kwa hii ya forck 'lift operator' tufahamishane.
 
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/dd3bf37a07a6a3c0341b34297a9aa3b5.jpg[/IMG

kwa mwenye kujua kazi zilipo kwa hii fani tufahamishane pls ni forck lift operator
31b840dd87cc40758a795f89a94489cd.jpg
 
Airport cargo ground handlers companies, clearing and freight forwarding companies
 
Kwa mwenye kujua kazi zilipo kwa hii ya forck 'lift operator' tufahamishane.
Jaribu ktk viwanda vinavyo zalisha vinywaji baridi na moto, viwanda vya usindikaji wa vyakula pamoja na madawa, sehem zote hizo lift operator ni muhim ktk utendaji wa kazi zao
 
Back
Top Bottom