dendaboy
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 1,085
- 742
Tulipokua kwenye harakati za kampeni kuelekea uchaguzi ahadi nyingi zilitolewa moja wapo ni uundwaji wa mahakama ya ufisadi.
Baada ya uchaguzi uliomuweka magu madarakani tumeona ahadi kadhaa zikitekelezwa ikiwa ni pamoja na uundwaji wa mahakama ya mafisadi
Pongezi kwako mh rais kwa kutekeleza uliyoyaahidi muungwana ni vitendo
mara tu baada ya kukamilika kuundwa kwake kilicho baki ilikua ni kuanza kazi kwa mahakama hiyo.
Hivyo tulikua tunasubiri kuona mafisadi wakikamatwa na kushtakiwa kama rais alivyoahidi kwa masikitiko makubwa ghafla tunaambiwa kua mafisadi wote wamekufa na haitawezekana kufukua makaburi yao na kuwashtaki.
Ukweli ni kuwa kwa kauli hii ya rais jambo hili ndio limeshindikana na tulisahau kabisa lakini pia naamini kua rais alikua na nia ya kweli ya kulifanya hili ndio maana amefikia paka kuunda mahakama.
Swala la kuhoji hapa ni kitu gani kimepelekea rais kulikimbia swala hili?
Anatuambia nini juu ya ahadi alizotoa kwa swala hili?
Muungwana ni vitendo naomba rais wangu uje utuambie ni jambo gani limepelekea kushindikana kwa swala hili.
Hivi sababu iliyo pelekea jambo hili kushindikana haiwezi kupelekea na mengine kushindikana?
Mwisho ombi kwa rais naomba sasa uivunje rasmi mahakama hii ili kuokoa pesa zetu zisiendelee kuwalipa watendaji wa mahakama hii ambayo haina kazi.
tchao