MSAADA

dendaboy

JF-Expert Member
Sep 15, 2016
1,084
742
nna tecno H5 ninapo mpigia mtu ina sachi ussd code running....lakini sim inaita na tunasikilizana ili baada ya maaongezi sim yaikatiki sababu bado ina sachi ussd code

msaada kwa anaejua tafadhali
 
tupa hilo kopo kanunue simu.
afu usinunue tena makopo ya tecno.
tumewachoka kila siku tecno yangu tecno yangu.
 
nna tecno H5 ninapo mpigia mtu ina sachi ussd code running....lakini sim inaita na tunasikilizana ili baada ya maaongezi sim yaikatiki sababu bado ina sachi ussd code

msaada kwa anaejua tafadhali
Ukiona inafanya hivo restart simu
 
Erase everything in the phone kwa kuifanyia factory data reset
Nenda setting alafu backup and reset then factory data reset
 
Back
Top Bottom