Search results

  1. J wizzy

    Msaada wa kuijua kozi ya Diploma in Auto-Electrical and Electronics Engineering inayotolewa NIT

    Wakuu poleni kwa majukumu, Naomba sana msaada wa kujua kuhusu kozi hii, maana nimejaribu kuingia kwenye website ya chuo cha NIT ili nipakue lakin prospectus yao nimeikosa kabisa hivyo nimeshindwa kujijua hii kozi kwa upana wake. Diploma in Auto-Electrical and Electronics Engineering...
  2. J wizzy

    Naomba ushauri jinsi ya kuwa mjenga hoja na kiongozi mzuri

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, natokea mkoa mmojawapo kati ya mikoa ya kusini. Nina kipaji cha kuongea na kuzungumza sana, hata nikifika ugenini, sichukui muda mrefu sana ntafahamika mahala hapo kutokana na haiba yangu. Pamoja na kuzaliwa mkoa x, ila sijawahi kwenda mkoani kwangu...
  3. J wizzy

    Hawa ndo wanawake wanaopaswa kudai haki sawa

    Mwanamke kama huyu akidemand haki sawa sina sababu ya kumnyima hata kidogo. we unaaonaje apo mkuu???
  4. J wizzy

    Timu Madrid, Timu CR7 come on

    Katika maisha ya kupenda na kushabikia soka,sijawahi kuhuzunika kuwa familia ya Madrid na tim Cristiano Ronaldo. Napata kile shabiki napaswa kukipata na kwa wakati. Asante Madrid na asante sana CR7. I am tim Real Madrid and tim Cristiano Ronaldo till death..
  5. J wizzy

    Yupi msanii wako bora wa hip hop Tanzania unayemkubali na kwanini huyo na si wengine??

    Habari za weekend wanajamvi. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,unafkiri ni nani unazani ni best hip hop man kwa hapa Tanzania? Na kwanini?? Binafsi my best ever rapper of Tz ni FID Q.sina manen ya kumdescribe huyu jamaa,ila kama kwenye mpira basi ningesema ni fundi haswaaa. Kifupi anajua...
  6. J wizzy

    Naomba kujuzwa juu ya Shahada hizi

    Habari wakuu; Naomba kujuzwa juu ya shahada zifuatazo; 1:Bachelor degree in planning&community development. 2:Bachelor degree in population&development planning. Naomba nijuzwe yafuatayo 1. Ubora wa hizi kozi. 2. Unaajiriwa kama nani/position gani? 3. Changamoto zinazopatikana ktk...
  7. J wizzy

    Je, Ni kweli vyuo vyetu vinatofautiana katika kuzalisha 'graduates'?

    Wakuu habari zenu na poleni na majukumu, Kumekuwa na kasumba moja kubwa sana ikiendelea kujitokeza mara kwa mara. Kasumba hiyo ni kuhusiana na vyuo vyetu vya Tanzania namna watu wanavyovitrace. Mara kadhaa nimeona watu wakiviponda baadhi ya vyuovingine vinaitwa vyuo vya kata, and so on, and so...
  8. J wizzy

    Naomba kujuzwa kuhusu degree ya development finance & investment planning.

    Habari wadau wa JF,naomba kujuzwa juu ya iyo bachelor degree ya falcut tajwa apo juu interms of its contents, good varsity/college to take t,pia fulsa zake,Unaweza fanya kazi wapi(means sector&position),employment opportunities, and last ningependa kujua profits za kusoma ii falcut & challenge's...
  9. J wizzy

    Naomba Kukaribishwa JamiiForums

    Habari wana jamvi.. Km kichwa kinavyojieleza apo juu,nimekua mfuatiliaj wa mda mrefu juu ya mijadala mbali mbali,hivyo nimeona nami nijiunge nanyi ili nipate kuelimika na mambo mengi yanayojiri duniani.jinsia yng ni ME,hivyo naomben mnipokee ndg zang. Nawasilisha..
Back
Top Bottom