J wizzy
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 458
- 535
Wakuu poleni kwa majukumu,
Naomba sana msaada wa kujua kuhusu kozi hii, maana nimejaribu kuingia kwenye website ya chuo cha NIT ili nipakue lakin prospectus yao nimeikosa kabisa hivyo nimeshindwa kujijua hii kozi kwa upana wake.
Diploma in Auto-Electrical and Electronics Engineering inayotolewa chuo cha NIT, inahusika na kitu au vitu gani hasa na muhitimu anakuja kufanya kazi zipi haswa?
Nina kijana wangu kachaguliwa na Tamisemi kwenda kusoma hii kozi, sasa yeye binafsi anapenda sana maswala ya umeme na elektroniksi tangu akiwa mdogo.
Tuliwaza na kukubaliana aje asome Diploma in Electrical and Electronics Engineering-MUST lakini kwenye hizi selection akachaguliwa kusoma Auto-Electrical and Electronics Engineering-NIT.
Msaada tafadhali wa kuijua hii kozi aliyochaguliwa.