Search results

  1. M

    Huyu kiongozi wa ACT-Wazalendo ni mkweli? Anadai Magufuli alituma watu wachome nyumba yake na shamba lake la mikorosho

    Watu wa vyeti feki mnamatatizo sana. Basi endeleeni na uhayawani wa kufikiri kufoji vyetu ndo mpate huruma ya serikali.
  2. M

    Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

    Ushauru wangu kwa mama Samia ris wetu control Hawa watu sampuli ya Nape ambao wanajitahidi kuonyesha ccm ya magufuli no tofauti na yako hata Kama mnatofautiana mawazo ktk uendeshaji was nchi we'we mama na magufuli but kwa mtu mwenye hekima na maarifa hawezi ku behave mithili ya.Nape. Akumbuke...
  3. M

    Nape Nnauye samehe na kusahau, mwache Hayati Magufuli apumzike

    JPM ni janga so what next? Fools.
  4. M

    Nape Nnauye samehe na kusahau, mwache Hayati Magufuli apumzike

    Fools are fools never argue with them people will Neve rknow who is a fool. Kabla ya magufuli kuwa rais korosho ilikuwa Bei gani? Na Sasa Nini kimewafanya washindwe kupandisha Bei ya korosho? Je Bei ya vitu vingine Kama fuel, gas na mahitaji mengine nchini yanayopanda Sasa kapandisha magufuli?
  5. M

    Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

    Ushauru wangu was bure kwa Polepole "Never argue with fools"
  6. M

    Rais Samia na mafanikio ya UNGA

    Naunga mkono juhudi za mama ktk utendaji wake isipokuwa ili kuboresha zaidi nashauri yafuatavyo:- 1. Ajitahidi kuepuka kupokea na kufanyia uamuzi wa kurudi tulikotoka kwa kila ushauri anaoupata toka kwa wasaidizi wake kwani baadhi yao ni wapigaji tu na hawako kwenye nafasi zao kwa manufaa ya...
  7. M

    Ni kitu gani alifanya JK na kikabaki kuwa cha Watanzania?, Je ile Gesi ni yetu?

    JK mimi binafsi namkubali sana pamoja na mapungufu yake kama walivyo wanadamu wote na amefanya kazi kubwa sana nchi hii ikiwemo kurudisha taasisi nyeti zilizo uzwa na mzee Mkapa kama ATCL, TTCL, TANESCO, TRC na THA (Bandari). Huyu ni shujaa kabisa. Mwendazake amekuja kuimarisha hizi taasisi...
  8. M

    Uchaguzi 2020 Dar es Salaam imepatwa na nini? Mbona mpo tuli?

    Hongereni Dar mmejitambua mmeachana na waongo na matapeli wa siasa ya tundu Lisu na mbowe.
  9. M

    Uchaguzi 2020 Ndugu Tundu Antipas Lissu, mgombea bora wa urais kuwahi kutokea Tanzania

    Hoja za Lisu wanazielewa vizuri sana watumishi hewa na mazwazwa. Mwenye akili timamu hawezi hata siku moja kumuunga mkono zombi anayeropoka ropoka tu hana Sera wala hajitambui na inaonekana huenda akawa ni mwezi mchanga.
  10. M

  11. M

    Uchaguzi 2020 VIDEO: Tundu Lissu akiwasalimu watu wa Nyamongo akiwa njiani kuelekea Serengeti. Ni baada ya kupigwa mabomu

    Hoja za Lisu wanazielewa vizuri sana watumishi hewa na mazwazwa. Mwenye akili timamu hawezi hata siku moja kumuunga mkono zombi anayeropoka ropoka tu hana Sera wala hajitambui na inaonekana huenda akawa ni mwezi mchanga.
  12. M

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

  13. M

  14. M

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Mh Tundu Lissu Mkoani Mara, Serengeti

    Hoja za Lisu wanazielewa vizuri sana watumishi hewa na mazwazwa. Mwenye akili timamu hawezi hata siku moja kumuunga mkono zombi anayeropoka ropoka tu hana Sera wala hajitambui na inaonekana huenda akawa ni mwezi mchanga.
  15. M

    Uchaguzi 2020 CCM yagawanyika, hawana majibu hoja za Lissu!

    Hoja za Lisu wanazielewa vizuri sana watumishi hewa na mazwazwa. Mwenye akili timamu hawezi hata siku moja kumuunga mkono zombi anayeropoka ropoka tu hana Sera wala hajitambui na inaonekana huenda akawa ni mwezi mchanga kichwani.
  16. M

    Waziri Simbachawene saidia kadhia hii

    Kuwa na gari ya pickup Tanzania ni uhalifu why this? Nimeshuhudia mwenyewe jinsi polisi wanavyosimamisha gari yoyote ya kubeba mzigo barabarani kutoka dar mpaka mwanza inavyosimamishwa na kila askari aliyopo karibu na barabara kana kwamba gari hiyo imeibiwa ama imebeba vitu vya wizi...
  17. M

    Rais Magufuli tuionyeshe kuwa Corona imedhibitiwa Tanzania

    Mkuu Mheshimiwa Raisi wetu John Pombe Magifuli Nakuomba tuionyeshe dunia tumedhibiti korona kwa njia zifuatazo:- 1. Uongozi wako umetoa dira kwa kuondoa hofu kwa Wananchi wako na korona imekuwa kitu cha kawaida. Zaidi ya yote ni kumtegemea mungu katika kila jambo. 2. Ugunduzi wa dawa lishe...
Back
Top Bottom