Unfortunately The game has changed, since the returned of super hero prophet Alive Tundu Lissu.

Due to fact now everyone is understand well, about God purposes to heal this Precious Leader Tundulissu over the injuries caused by Unknowns peoples.

And always we knows that God heal peoples from the devils regime from it messengers such Tundu Lissu.

No I'm urging my prophet Alive Lissu to deal with New cabinets which will lead our country for five years consecutive.

As well to released out all peoples who arrested and accused by false accusations. Without giving them bail.

See you again CCM.
 
Ahaa,Slaah na Lowasa walikuwa na mafuriko akuna pakuweka mguu lakini asikwambie mtu kujaza watu sikigezo kabisa.
tukutane kwenye pitch October 28 ndo mtajua kwanini CCM kinafanya kampeni za kisayansi zaidi ya Maradona.
 
nimeangalia video sijarizishwa na ulinzi wa mgombea wenu kabisa, kaeni kama chama mrekebishe hii, muangalie na ile alipotoka kuongea na askari wakati anaondoka anakumbatiwa na mtu yuko kifua wazi, walinzi hawatakiwi kuruhusu hilo.

Usalama Walisu Niwaovyo Sana Hata Diamond au Harmonize Anamshinda Kbs kbs Tafadhali Kwa siku hizi Zilizo baki Lisu anahitaji Ulinzi Makinifu Kuliko Kitu chochote

IMG_20200926_200719.jpg
 
Umeongea vema mleta mada.
Hata hivyo ashukuriwe Mungu ambae anaendelea kumpigania. Uwepo wa Lissu Leo akiwa hai imekuwa pigo kubwa kwa wakubwa!
Hakika Ingawa na wao jitihada zao kama viongozi Nimuhimu sana Nikucho kiona leo nihatari sana Sitapenda kuona Likijirudia tena
 
Nadhani wamesikia. Ila ushauri, Chadema inaweza kutafuta makomandoo wastaafu na kuwapa ajira ya muda wa miezi miwili wakaunda platoon moja ya ulinzi kabambe.
Hata sie wengine ambao hatukumaliza mafunzo hayo lakini tuko kamili gado tu tayari Ku volunteer kazi hiyo hadi pale atakapo apishwa kuwa Rais wa jamhuri.

Chakaza is available
 
Hoja za Lisu wanazielewa vizuri sana watumishi hewa na mazwazwa. Mwenye akili timamu hawezi hata siku moja kumuunga mkono zombi anayeropoka ropoka tu hana Sera wala hajitambui na inaonekana huenda akawa ni mwezi mchanga.
 
Back
Top Bottom