Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Mh Tundu Lissu Mkoani Mara, Serengeti

Hoja za Lisu wanazielewa vizuri sana watumishi hewa na mazwazwa. Mwenye akili timamu hawezi hata siku moja kumuunga mkono zombi anayeropoka ropoka tu hana Sera wala hajitambui na inaonekana huenda akawa ni mwezi mchanga.
 
Hizo kwenye uwanja wa medani huwa zinatumika kuwatoa watu mteru 😅😅😅, hahahah! acheni kulialia CCM inaendelea kusonga mbele.

Ushindi ni kawaida yetu CCM.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Jaman hawa pimbi jamii ya akina de mahera watawatangaza kweli watu wetu wakishinda?? Maana uyu mkurugenz wa Nec tayari anayempigia kampeni magu sincerely nadaut km watatutangazia wateule wetu.
 
Hoja za Lisu wanazielewa vizuri sana watumishi hewa na mazwazwa. Mwenye akili timamu hawezi hata siku moja kumuunga mkono zombi anayeropoka ropoka tu hana Sera wala hajitambui na inaonekana huenda akawa ni mwezi mchanga.
Asiyemwelewa Lissu ana roho yakishetani.
 
Hoja za Lisu wanazielewa vizuri sana watumishi hewa na mazwazwa. Mwenye akili timamu hawezi hata siku moja kumuunga mkono zombi anayeropoka ropoka tu hana Sera wala hajitambui na inaonekana huenda akawa ni mwezi mchanga.
Lissu ni kichaa, hanadi sera hata siku moja ye ananadi mapambano tu kwamba lazima atangazwe kwa sababu watu walikuja kusikiliza mkutano, basi lazima awe mshindi la sivyo damu itamwagika, huyu kichaa ametumwa anatumiwa kama zombie na wazungu
 
Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu asichague #Lissu tarh 28.
Lisssu mwenye uwezo wa kuitafsiri elimu yake kwenye mazingira anayoishi.
Uzuri wa Lissu ni Born Free anazungumza na vijana kwa lugha wanayoielewa unlike yule bwana wa kufokea na kugombea.

Hiki kizazi cha kabla ya uhuru ni muda Sasa umewadia kuachana nacho. Na muda huo ni Sasa.
 
Kwa mwendo huu ni kazima mtu aombe poo.
1 nec
2 msajili
3 polis
4
5
Na kadhalika.
 
Back
Top Bottom