Search results

  1. AHMARDZ

    Naomba kueleweshwa haya kuhusu nyumba hizi ambazo bati zake hazionekani

    kuna jamaa niliwaona facebook hio tatizo wanali solve kwa kutengenezea kitu kufunikia nigumu kama lamiii sijui linaitwaje nila lazwa kwenye ukuta na bati so maji haya piti kabisa
  2. AHMARDZ

    Nashida ya Kuzamia

    Ni kweli popote ila nime kwama
  3. AHMARDZ

    Nashida ya Kuzamia

    Habarini wana JF, mimi ni mhanga wa ajira kwa muda tuu ila nimetafakari na kuona halihalisi ya maisha yanavyozidi kuwa juu nimeona nitafute kazi nje ya nchi, nje ya Africa kazi yoyote ya halali hata kudeki vyoo, kwa anayejua au mwenye ndugu pls aniunganishe, asanteni mtakaoguswa. Maisha magumu...
  4. AHMARDZ

    Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

    Dawa hipo kama upo serious nitafute unaacha ndani ya siku tatu
  5. AHMARDZ

    Vitabu vya Dini ,Madhehebu Na Mitume wa Mungu

    lakini kwa imani zingine hakua mwana wa Mungu, alikua mtume wa Mungu kama mitume mingine, unajua tatizo kubwa hapa yesu alizaliwa bila baba ndo ikaonekana kua hivyo ila watu wamesahau miujiza ya Mungu, Mungu alimuumba Adam na hawa hao wote hawa kua na baba wala mama wameumbwa straight.so kutokua...
  6. AHMARDZ

    Vitabu vya Dini ,Madhehebu Na Mitume wa Mungu

    yesu aliteremshewa kitabu injili na ndani ya injili kuna few details kutoka kwenye original torati kwakua original enyewe ilipotea na ilipitwa kwa wakati wake.
  7. AHMARDZ

    Vitabu vya Dini ,Madhehebu Na Mitume wa Mungu

    kila kitabu na wakati wake na kwa umma maalum, so torati ili isha na watu walifanya edit nyingi so enywe ikapotea so akaja mtume mwingine kwa wakati mwingine nae anakitabu chake kina machache kutoka kwenye torati na mengine mapya yake kwa umma wake, so kuna kupokezana mpaka kufika kitabu cha mwisho
  8. AHMARDZ

    Vitabu vya Dini ,Madhehebu Na Mitume wa Mungu

    na injili????????????? au wanafunzi wali compose injili?
  9. AHMARDZ

    Vitabu vya Dini ,Madhehebu Na Mitume wa Mungu

    reference ilikua maisha wanayoishi, so kikitokea kisaa ndo inashushwa aya immediately, na mengi walikua wanaambiwa au kuagizwa na Mungu kupitia Malaika Jibreel au Gabriel huyu alikua mwalimu mzuri kwa mitume na alikua anagizwa direct kwa mitume. so kwa mpaka Quran imekamilika kufikia kwa mtume...
  10. AHMARDZ

    Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam

    ila kwa sasa watu wakitabu hawapo wale wenywe mie nilisha muliza shekhe moja amejibu kama wewe ila akaweka mkazo kwa sasa hao watu wakitabu hawapo walishaisha maana ngumu kumkuta yule mwenywe so ni bora kuoa wa dini yako.
  11. AHMARDZ

    Tatizo la Space Nokia Lumia 1020

    mkuu hio simu mwisho ni windows 8.1, windows 10 sio yake umei forcehi downgrade kuenda 8.1 uta enjoi alafu change format ya image unazo piga picha maana hio ina 41mega pixel so picha lazima ziwe heavy.
  12. AHMARDZ

    Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam

    sawa hatukatai mzee baba wanakula ila hao sio waislam ila ni waislam majina mzee baba, kwani bible inasema watu wakafirane? hapa inakataza na kulani kitendo kile ila mbona kuna sampuli kibao za wakristo wanafiranaa? so usichanganye dini na tabia za watu binafsi. Dini zina kataza mahasi ndo ujue...
  13. AHMARDZ

    Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam

    hizo unazo sema wewe si katai ni duplicate tuh ili kupoteza watu ila nenda kokote duniani omba Quran soma ni ile ile usidanganyike nenda hata bush tafuta mtoto wa chuo mwambie hakusome surah yoyote ile naenda sehemu nyingine ni vile vile, kinacho fanyika asaivi ni wana print Quran fake kwajili...
  14. AHMARDZ

    Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam

    kwa sababu mkristo au myahudi vitabu vyao viko nyuma na vina edit nyingi na mapungufu kibao na ni vitabu kwa wakati ule, na kitabu chetu ni kwa uma wasasa yani kitabu cha mwisho kwa mtume wa mwisho so binti wakiislamu akiolewa na mtu wa dini hizo nikumrudisha nyuma, ila mwanaume ukioa haina...
  15. AHMARDZ

    Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam

    ibilis hawezi kuslimu amelaniwa ametengwa mbali na rehma za Mwenyezi Mungu. na ibilisi yuko kwa jili ya kazi yake maalum kuwapoteza watu kama nyie.
  16. AHMARDZ

    Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam

    Sure, ila tumeambiwa watu wakitabu yani wakristo wa kweli sio wasasa ambao kwa sasa hawapo. asaivi kuna agano jipya etc so hairusiwi ilikua inrusiwa kwa wale wakristo wa ukweli ambao hawali kitimoto etc kama wasabato fulani ila wale walio kua wanafata mafundisho ya Yesu mwenyewe in and out sio...
  17. AHMARDZ

    PC yangu inanigomea kufanya partition local disc C yenye windows(OS)

    mkuu hio kazi ni raisi saana tuh ila kuna ka process sijui umeshafanikiwa au laah????
  18. AHMARDZ

    Kwanini Waafrika Tunahitaji Misaada tuko nje ya Bara letu?

    ukweli wanajua wao na Mungu, yani mie naisi vyama ni vyao na viongozi nawao yani vibaraka wao, sie tulio kua njee ya mfumo tuna uchungu na tuna marifaa mengi au tuna maono mazuri ila haya chukuliwi maanani ndo ujue ni watu wao.
Back
Top Bottom