Search results

  1. fullcup

    Kila nikileta beki tatu mume wangu anatembea nao, nimechoka

    Hapo chukua watoto wa ndugu zake au ndugu zake wasaidie kazi.
  2. fullcup

    Kelele za wananchi wazalendo zamleta hadharani Makamu wa Rais. Lakini bado twajiuliza; ni sahihi kiongozi wa nchi kuishi nje mwezi bila taarifa rasmi?

    Kwa heshima Yako mkuu naomba niseme si sahihi lakini sometimes privacy inahitajika hasa Kama Kuna masuala binafsi ya kuyashughulikia.
  3. fullcup

    Naomba connection nahitaji kuhama Tanzania

    Hata kama hujawahi kuwa shabiki wa siasa hakuna kuhama Kama fulsa tafuta ndani ya nchi zipo
  4. fullcup

    Mke wangu kasema nafeli; je, nafeli wapi?

    Huyo jamaa anahaki ya kulindwa Sasa kumuachia Mambo yake atakuja kujinyonga hivyo apigwe Ili bichwa lifanyiwe factory reset
  5. fullcup

    Prof. Mkenda anafuata nyayo za Mungai ktk kuchezea elimu

    Mpaka Sasa ilitakiwa wawewameshaanza kusambaza vifaa na kujenga miundombinu kwenye shule hizo nchi Zima Ili kuendana na mabadiriko ya mtaala.
  6. fullcup

    Naomba connection nahitaji kuhama Tanzania

    Haukuna kuhama na nikikubaini upo mpakani nakurudisha. Kwenye kampeni nyie ndo mlikuwa mnaishabikia CCM Sasa tuisome namba pamoja, hakuna kuhama.
  7. fullcup

    Bongo Movie mnashida gani?

    Nilichokiandika ni kuwa kwasasa kazi zimejawa na utoto mwingi hna hakuna ubunifu Kama zamani. Nimetolea mfano wa hiyo kazi inaitwa KUBWA KULIKO na kazi nyingine za akina mkojani yaani ni utoto tu ndani yake.
  8. fullcup

    Hamjambo nyie vijana wa CAF Champion League

    Sio Sio kutoka tu hata kuvuka hii stage ya makundi
  9. fullcup

    Hamjambo nyie vijana wa CAF Champion League

    Kukaa mkiani ni suala la muda tu kijana. Mbona wydad alicheza mechi mbili akawa na point zero kwahiyo ni nafasi ya muda tu lakini utashangaa baada ya round two kuanza.
  10. fullcup

    Mke wangu kasema nafeli; je, nafeli wapi?

    Ajiri mtu la sivyo utapigiwa mkeo na mtaji
  11. fullcup

    Bongo Movie mnashida gani?

    Kaangalie utoto katika kazi ya kubwa kuliko na takataka nyingine za mkojani na wengine
  12. fullcup

    Hamjambo nyie vijana wa CAF Champion League

    Hata hufatilii mpira, nenda jukwaa la akina zuchu huko kunakufaa. Mechi nne za nyoko! Tumecheza mechi tatu kijana Kama hujui sio lazima kuanzisha Uzi kaa soma tunazoziandaa
  13. fullcup

    Mke wangu kasema nafeli; je, nafeli wapi?

    Umefeli pakubwa we nyau wewe. Mwanamke anakuwaje na mandate kubwa kiasi hicho kwenye biashara? Yeye alitakiwa awe chini Yako yaani afanye kazi Kwa kujua kuwa unamfatilia. Yeye auze na jioni mfunge mahesabu pamoja Tena ukibaini upotevu kuwa mkali. Sasa miaka miwili yeye anaendesha biashara Kwa...
  14. fullcup

    Nimempenda mwanamke ila wazazi wake wamenikataa

    Achana nae usije ukalazimisha kisa nyege mshindo. Nenda mpakani mwa Zambia na Tanzania kajiolee wanawake wapo tele mahali kufika kwako tu .
  15. fullcup

    Ni muda Sasa wa serikali kutoa muongozo kuhusu uhamisho wa Mbarali

    Ndugu wana jamvi nisicheleweshe muda. Mwaka Jana mwezi Novemba serikali ilitoa katazo la kufanya shughuli za kilimo Kwa maeneo kadhaa na kuidhinisha uhamisho wa baadhi ya vijiji. Mwezi Disemba waziri mkuu alifuta GN 28 na kufanya marekebisho ya maeneo ya kuhama na kufanya shughuli za kilimo...
  16. fullcup

    Utawajengea wakwe zako nyumba?

    Sithubutu Bora tuunganishe nguvu na ndugu zako au nijenge yangu niwape wakae wakichemka waniachie
  17. fullcup

    Mpenzi wangu hanijibu

    Mke mdogo na mwanachuo wasitishie huduma na elekeza nguvu Kwa wife. Maisha uliyomuanzishia anatakiwa Aishi hayo na kama mabadiriko yawe kidogo lakini kipato cha 2500 ugawanye sehemu 3! Una matatizo wewe.
Back
Top Bottom