Search results

  1. MTAZAMO

    Madai ya Janeth Shayo, Mkazi wa Uru, Moshi, kutosikilizwa

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  2. MTAZAMO

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Sanctus Mtsimbe nimemfahamu hapa JF enzi zile akiwa active sana humu. Nilibahatika kukutana nae around 2 yrs ago aki launch Zuku products. Anaonekana ni mtu mtulivu, mcha Mungu na mbunifu sana. Rest in peace brother Sanctus Mtsimbe
  3. MTAZAMO

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Wizi wa kura na ujambazi wake hakuna kipindi kinachozidi kingine. Tofauti ni JPM hakuwa mnafiki na kona kona. Ukisikia mtu anasema 2020 ilizidi ujue huyo hajawahi kuwa front kwenye uchaguzi na kama alishiriki hakuwa insider alisikia sikia tu vitu.
  4. MTAZAMO

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Wamemtukana sana JPM hadi akiwa kaburini lakini bado hawachoki. Huu unafiki kuna muda uzi utakatika tuanze kujenga ukuta.
  5. MTAZAMO

    Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

    Huyu ni one of the top haters wa JPM hatupi tabu! Chuma JPM all times all days! Haters tunawasikiliza tu.
  6. MTAZAMO

    Ukweli kuhusu kwanini unaamini dini unayoiamini

    Influence ya wazazi YES! Ila wengine tuliamua kuchunguza facts za imani yetu hadi kufikia hatua ya kuyumba kabisa ila tulipokuja kupata uhalisia ndipo tulipotuliza nafsi na roho kwa Kanisa Moja Takatifu la Mitume! Huwezi kujua kweli kwa kumtegemea mchungaji wako bila kukubali challenge nje ya...
  7. MTAZAMO

    Biblia wanayotumia Wakotoliki na wanayotumia Walututeri pamoja na madhehebu mengine ni tofauti?

    Author wa Bible ni Holy Spirit na Catholic Church. Whoever against the Mother Holy Church is against Jesus himself. Sasa hutaki sawa ....
  8. MTAZAMO

    Wakatoliki mnakwama wapi kwenye media?

    Ni mpaka watapotokea walei wa invest kuweka maudhui ya Kikatoliki. Tuko slow mno na kutumia media kuinjilisha. Hata TV maarufu duniani EWTN founder ni mother Angelica na inaendeshwa kupitia bodi maalum.
  9. MTAZAMO

    Waziri Jerry Silaa unastahili pongezi kwa ubunifu huu!

    Mimi imenichukua 2 days hapa muda wowote hati yangu inatoka.
  10. MTAZAMO

    Waziri Jerry Silaa unastahili pongezi kwa ubunifu huu!

    Huku Bunju amemaliza migogoro iliyoshindikana kitambo sana [emoji122][emoji122]
  11. MTAZAMO

    Waziri Jerry Silaa unastahili pongezi kwa ubunifu huu!

    Amepiga kazi sana. Binafsi nilifikiri siasa tu ila nilipoenda kufatilia hati yangu ndio nikaona kazi kubwa inayofanyika hadi usiku. Pongezi kwake
  12. MTAZAMO

    Waziri Jerry Silaa unastahili pongezi kwa ubunifu huu!

    Kwa niaba yangu binafsi na wana Bunju tunashukuru mno kwa kambi uliyoweka zaidi ya wiki kutatua migogoro ya ardhi na kubwa zaidi ni kubeba timu zima kuhakikisha wananchi wana rasimisha ardhi zao. Huu ndio ubunifu tunaotamani viongozi wawe nao badala ya kushinda ofisini. Umekuwa mnyenyekevu sana...
  13. MTAZAMO

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Ni sawa na demu mrembo kupindukia umeshamtolea mahari alafu unakuja kugundua ni malaya wa kutupwa! Alafu kaka wa demu anakwambia muoe haraka kabla hujaporwa wengi wanamtaka! Sasa muoaji ndio Tanzania demu anamtamani ila ndio vile ...[emoji1787]
  14. MTAZAMO

    Martin Chacha mkazi wa Tegeta inadaiwa ameuawa kwa kipigo na ASAS akishirikiana na SUMA JKT

    Ogopa damu ya mwanadamu! Anaweza kushinda hii vita kwa fedha na connections lakini ipo siku atalipa gharama ya hiyo damu yeye au familia. Kupata hasara inatia hasira lakini kufikia kumwaga damu ya mtu ni tatizo la ziada.
  15. MTAZAMO

    Wilibrod Slaa na CHADEMA waache dharau kwa umma wa Watanzania

    Huyu anamchukia Dr Slaa with passion na hakuna kingine UDINI!
  16. MTAZAMO

    Ali Kamwe Tuheshimiane!!

    Fungua mada nyingine ni tag tukabishane huko
  17. MTAZAMO

    Ali Kamwe Tuheshimiane!!

    Uzuri umesema ya papa ibakie hivyo [emoji6]
  18. MTAZAMO

    Ali Kamwe Tuheshimiane!!

    Mwigulu tayari [emoji1787][emoji1787]
  19. MTAZAMO

    Ali Kamwe Tuheshimiane!!

    Wewe kapake tu [emoji1787]
Back
Top Bottom