Search results

  1. Nyakageni

    Naomba Activation key for Microsoft office professional Plus 2019

    Wakuu heshima yenu. Naomba msaada wa kupatiwa activation key ya microsoft office professional Plus 2019 Mfano nikiandika kwenye Microsoft word inagoma na kuleta maandishi "you can't make this change because the selection is locked" Wasaalam Dr. Nyakageni
  2. Nyakageni

    WanaJF Lissu ni member mwenzetu, tumpe sapoti pia!!

    Amani kwenu wanabodi, Tundu Lissu ni ni mwana chama mwenzetu. Ana kesi mahakamani ya kututetea wote humu ndani ili tuwe huru. Ni moja ya mawakili anayemtetea @Maxence Mello na Mike ambao ni mabosi wetu humu ndani kwa maana ya wakurugenzi wa Jamii Media (wamiliki wa Jamiiforums) Kwa moyo safi...
  3. Nyakageni

    Maandalizi na tendo la ndoa kwa mwanamke aliyekeketwa

    Wanabodi habari, Uzi huu ni maalum kwa watu wenye uzoefu wa kuwa na mahusiano na wanawake waliokeketwa, na pia wanawake waliokeketwa. Katika pita pita zangu niliwahi kukutana na mwanamke mrembo haswa (Mungu ni fundi, ashukuriwe) lakini katika hatua za mwanzoni alikuwa mgumu sana kuruhusu...
  4. Nyakageni

    Dr. Slaa, damu yetu na maumivu yetu yawe juu yako

    Mwaka 2015 Dr. Slaa alifanya kazi kubwa sana ya kuibomoa UKAWA na kutuaminisha kuwa '' mwenye heri '' ni bora kuliko '' shetani'' aliyemkaribisha nyumbani na baadaye kumkimbia kwa kigezo kuwa '' kinyesi kimepakuliwa na kuhamishiwa sebuleni '' Muda ni jibu zuri sana na nashukuru Mungu kuwa...
  5. Nyakageni

    Uhuru zaidi wa kula papuchi unahitajika kwa wanaume! Wanawake

    Kwa muda sasa nimekuwa mfuatiliaji wa mada za jukwaa hili la MMU. Ni jukwaa la nne baada ya jukwaa la siasa, habari mchanganyiko na dini & imani. Nawasalimu wote humu na kuwapongeza kwa kutoa elimu nzuri sana ya mahusiano bila malipo wala kificho!!! Naamini siku haya majina ya bandia yakitolewa...
  6. Nyakageni

    Fursa kwa serikali kuhamia Dodoma kutokana na kauli ya Magufuli siku anapewa uenyekiti wa CCM

    Wakuu naomba tujadili kwa pamoja baadhi ya fursa ambazo wajasiriamali tunaweza kuzipata. Michango yenu inaweza kuzingatia SWOT ANALYSIS ili mtu anapoandaa project plan yake iwe virahisi zaidi Mimi kwa haraka haraka naona fursa zifuatazo 1. Guest Houses kwani watumishi wengi wataenda kule...
  7. Nyakageni

    Barua ya wazi kwa Rais mstaafu Benjamin Mkapa.

    Imeandikwa na Elias Mhegera Ubabe, vitisho na kutukana siyo suluhu ya matatizo ya Watanzania! Kwanza kwa heshima kubwa nakusalimia shikamoo, na baada ya hapo nakuomba urejee madhara yaliyowahi kusababishwa na tabia zako za ukatili na ubabe. Kwanza hii tabia ya kutukana watu hujianza leo...
  8. Nyakageni

    Fundi inverter (converter) ya 'solar'

    Waungwana inverter yangu imeharibika na feni yake tu ndiyo inazunguka! Hivi kuna mafundi wa hii kitu na wako wapi kwa Dar Es Salaam? Napata taabu as solar power ni back up ya umeme wa kifisadi wa Tanesco! Kuna ushauri mwingine au ninunue tu? Amani iwe nanyi
  9. Nyakageni

    Mlipuko wa red eyes Dar, April 2015

    Kuna mlipuko wa red eyes sehemu kubwa ya jiji la Dar. Wizara kimya, Serikali kimya. Hili nimeligundua baada ya dawa ya IVYDEXNEOCIN kuisha kwa kasi sana kwenye maduka ya dawa muhimu (pharmacies) Dawa zote ambazo ni related to DEXAMETHASONE AND NEOMYCIN EYE/EAR DROPS zimenunuliwa kwa kasi...
  10. Nyakageni

    Sumaye atangaza rasmi kugombea urais kupitia DW RADIO

    Leo mchana huu Mheshimiwa Fredrick Sumaye ametangaza rasmi kugombea urais wa Tanzania. Amesema hayo wakati akihojiwa na Dotto Bulendu anayeripotia Deutsche Welle Radio.
  11. Nyakageni

    Foleni kali sana ya leo 8/7/2014 tatizo nini?

    Nimekaa kwenye foleni tangu saa sita mchana toka Kinondoni Mkwajuni kwenda Posta na kufika saa 9:45 alasiri! Narudi kupitia Kariakoo karibu masaa mawili sijafika Mnazi Mmoja! Tatizo nini? NATAMANI NIACHE GARI NITEMBEE
  12. Nyakageni

    Zitto awasilisha Taarifa ya Mwaka ya Kamati ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC) Bungeni

    Leo Jumamosi 7/12/2013 katika ukumbi wa bunge Dodoma, aliyekuwa naibu katibu wa CHADEMA, mheshimiwa Zitto kaingia bungeni na akiwa na jukumu la kuwasilisha ripoti ya PAC ambayo yeye ni mwenyekiti. Wabunge wa CCM wameshangilia sana. Swali kuu ni why CCM mp's? Time will tell Kaanza kwa...
  13. Nyakageni

    Eneo la ufukweni linauzwa! Bei cheee...

    Eneo la ufukwe (beach) wa ziwa Victoria jijini Mwanza linauzwa! Linafaa sana kwa classic hotel au nyumba ya kuishi! Lina ukubwa wa ekari 3 na liko eneo la Kayenze Ndogo nje kidogo ya jiji la Mwanza kilometa chache kutoka Mwanza International Airport. Bei ni Tsh. 350 million
  14. Nyakageni

    Happy b'day Freeman Mbowe (KUB)!!

    Tarehe kama ya leo miaka 52 iliyopita ardhi ya Tanganyika ilipata baraka kubwa baada ya kupata mtoto aitwae freeman Aikael Mbowe! Mheshimiwa Mbowe amekuwa na muono wa mbali sana kuhusu taifa hili; amejitolea mwili, nguvu, akili na muda wake kuhakikisha tunaipata 'Tanzania tuitakayo'...
  15. Nyakageni

    China, adui wa maendeleo na Demokrasia Tanzania! Balozi avaa kofia ya CCM

    Uhusiano wa nchi ya China na Tanzania kwa sasa ni jambo la kushangaza saana! Kuna mambo mengi yanashangaza. Leo hii mwanadiplomasia wa China, balozi wa China nchini Tanzania kaamua kuisaidia CCM kupiga kampeni! Katika kijiji cha Maganzo nje kidogo ya mgodi wa Mwadui, wilaya ya Kishapu mkoani...
  16. Nyakageni

    Tetesi: Mwigulu Nchemba amtishia mbunge wa CUF

    Kufuatia tukio lililotokea bungeni wiki iliyopita ambapo mbunge mmoja wa CUF alitumiwa 'kimemo' cha kumtishia maisha, kuna tetesi kuwa aliyetuma kimemo hicho ni Mwigulu Nchemba, mbunge na naibu katibu mkuu wa CCM, Mwigulu Nchemba! Haya yametolewa na mchangiaji wa kipindi cha Malumbano ya...
  17. Nyakageni

    Uhusiano wa size ya korodani na ngono!

    Wataalam wanasayansi wa Marekani wamegundua kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya ukubwa wa korodani (siyo dushelele kwani fupi tamu na hakika kubwa inakera) wenye korodani kubwa ni wapenda ngono hasa nje ya ndoa na siyo walezi wazuri! Wenye korodani ndogo ni wapenda kulea watoto kama kuwaogesha na...
  18. Nyakageni

    Msikiti Dodoma waungua

    Msikiti mkubwa wa barabara ya saba Dodoma hivi sasa unaungua moto. Imetokea mapema baada ya ibada ya Ijumaa na umeanzia ghorofa ya juu. Kuna taharuki kubwa! Hofu nyaya za umeme zitashika moto. Hakuna majeruhi wala aliyepoteza maisha. Poleni ndugu zetu waislam. Source: Magic F. M.
  19. Nyakageni

    Wabunge wa upinzani watoka nje tena kwa kupuuzwa!

    Wabunge zaidi ya 20 walisimama kwa mujibu wa sheria lakini Jenista Muhagama akaandika majina na kutowapa nafasi, akitaraji kuwapa nafasi mwishoni! Cha ajabu hajui wanataka kuzungumzia nini. Wametoka nje ya ukumbi. Mbunge wa CUF mwanamama Mwituka na John M. Shibuda wa CHADEMA, Dr. Augustine...
  20. Nyakageni

    Sera kuu ya CCM ni Dar kwanza, Hongera wamakonde wa Mtwara!!

    Hivi Kawe na Ubungo mmekosa nini? Ni 'uongo' gani waliwaambia? Au Mnyika na Mdee waliiba kura? Kwa miaka 50 ya uhuru CCM imeifanya Dar kuwa peponi, wanakaa malaika, wenye heri na watakatifu! Kichwa huuma zaidi kuona CCM inachaguliwa mikoani. Mikoani wanakaa mashetani, misukule na mazimwi kwa...
Back
Top Bottom