Eneo la ufukweni linauzwa! Bei cheee...

Eneo la ufukweni linauzwa! Bei cheee...

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
15,044
Reaction score
5,115
Eneo la ufukwe (beach) wa ziwa Victoria jijini Mwanza linauzwa! Linafaa sana kwa classic hotel au nyumba ya kuishi!


Lina ukubwa wa ekari 3 na liko eneo la Kayenze Ndogo nje kidogo ya jiji la Mwanza kilometa chache kutoka Mwanza International Airport.

Bei ni Tsh. 350 million
 
Unajua Sheria ya mazingira inasema nini juu ya matumizi ya mwambao wa ziwa au Bahari?
eneo Hilo liko umbali gani toka ziwani?
 
Unajua Sheria ya mazingira inasema nini juu ya matumizi ya mwambao wa ziwa au Bahari?
eneo Hilo liko umbali gani toka ziwani?

vigezo na masharti ya NEMC vimezingatiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom