Wazo zuri lakini
suala la imani ni la mtu binafsi,ili upone kwa babu sharti uamini kwamba utapona,JE UNAUHAKIKA KWAMBA HAO AMBAO SERIKALI ITAWAPELEKA KWA BABU KINYEMELA WATAKUWA NA IMANI KWAMBA WATAPONA?Huu si mchezo wa kubahatisha.
Sikupingi,naheshim uhuru wa kuongea na kutoa maoni yako,una haki ya msingi.Mkuu hebu tusubiri tuone au kusikia shuhuda za waliopona kutokana na dawa ya babu,hakuna marefu yaso ncha.
Inauma sana,halafu hivi yale mashangingi ya muhula uliopita yamepelekwa wapi?hi nchi,hii nchi,hii nchi hiii,jamani watu wa mara tusaidieni kutengeneza bunduki tuwabomoe viuno hawa ccm.Inauma sana.
Miujiza gan ya kujinadi? Hilo ni zee la misifa, halafu wewe unayesema tumtumie, anza wewe,usishawish wanajamvi wamwabudu binadam wkt mungu yupo.
Umetumwa nini mzee?sema kama we una hisa kweny sadaka anayokusanya.
Bado,bado,tena bado sana.Hatuwezi kumuamini simply like this,mtoto wa nyoka ni nyoka,babaye(mropokaji)was frontline kuhakikisha mafisadi wanarudi bungen,au tumesahau jamani?ni kwel kabisa JM anatafuta huruma ya watz akubalike countrywide na hizi ni mbinu azitumiazo.JM anasaka umaarufu kwa udi...
Kweli zumbe,umenikumbusha wkt naskongeka tosa,nilikuwa nachapa kitu "ulanzi"ambacho kinabadilika jina kadiri siku zinavyoenda from the day ulipogemwa. Ule fresh wa day one unaitwa mtogwa,day2 mkangafu,day3 mdindifu n.k.changes ya majina is also attributed with alcohol %age increase that is known...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.