Namzimia mume wa jirani

mmmm mkuki kwanguruwe kwa binadamu mchungu ungekuwa ni wewe dada yangu na dhani sasa hivi tungekuwa tunakushauri mengine humu ndani ya jamvi hivyo achana nae tafuta wako kama wakina michelle walivyo kushauri
 
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.
Wala usimfanyie vitimbi tena, kama umemzimia mwambie halafu yeye atasema, kama hakupendi basi mwache utatia aibu buree
 
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.

Utakuwa hukidhi viwango anavyotaka kwa mwanamke! Kwa hiyo angalia ustaraabu mwingine tu.....Maana sisi wanaume tulivyo wadhaifu linapokuja suala la K inayojileta yenyewe, siamni hajakuchakachua bado!
 
Nawapongezeni wadada kwa kulivalia njuga hili suala kuokoa heshima ya mwenzenu na ndoa yake. Kusema kweli pamoja na ukiwembe wetu wanaume, lakin mazingira mengine tunalengeshewa. Naamini huyo jamaa atafanikiwa kushinda kishawishi. Najua zipo mbinu wakiamua kutumia wadada, ni wanaume wachache sn wanachomoka.

Alishashinda huyo baba. Mwanamke mvuto kama hauna ndo utatafuta mbinu.
 
Utakuwa hukidhi viwango anavyotaka kwa mwanamke! Kwa hiyo angalia ustaraabu mwingine tu.....Maana sisi wanaume tulivyo wadhaifu linapokuja suala la K inayojileta yenyewe, siamni hajakuchakachua bado!
Kweli kabisa!
 
hiyo si siri yako mama? mbona mawazo hovyohovyo hivi unataka wakuambie ufanye?je kama ni mme wao je,think twice!
 
Back
Top Bottom