Search results

  1. Kande

    Katika hili la KKKT, CCM ina la kujifunza

    Vyovyote itakavyokuwa au mtakavyochukulia, Mh Mwigulu Nchemba katusaidia mno kuokoa kura nyingi sana eneo hili la Makanisa. Nafikiri tunajua nguvu za Viongozi wa dini wakiwaambia waumini leo Herufi A imebadilika na itasomwa kama B huwa hawahoji wao huingia kwenye utekelezaji tu. Nendeni maeneo...
  2. Kande

    Kanisa, Usiogope - Sitta

    Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Marehemu Samuel Sitta alipata kunena na kulitia moyo kanisa kuendelea kukemea maovu hata kama yanatendwa na serikali...
  3. Kande

    Zitto ataka kuonana na Askofu Kakobe sakata la uhamiaji

    Habari wadau, Taarifa nilizozipata kutoka kanisa la FGBF Mwenge kwa Askofu Zachary Kakobe ni kuwa Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amefika kanisa hapo saa 7 mchana ili kuonana na Askofu Kakobe lakini hajafanikiwa kwasababu ibada ilikuwa inaendelea. Kwa mujibu wa Mhudumu wa mapokezi kanisani...
  4. Kande

    Mkurugenzi Mtendaji wa TBC, Dr. Ayoub Rioba apata ajali Kigoma, mtu mmoja afariki dunia

    Mkurugenzi Mtendaji wa TBC, Dr. Ayoub Rioba amepata ajali ya gari katika eneo la Mgombe, Kigoma ambapo mtu mmoja amefariki dunia. Taarifa hizo zimethibitishwa na Kamanda Wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Otieno
  5. Kande

    Dunia imempoteza Faru Dume wa mwisho mweupe huko Kenya

    Dunia imempoteza Faru dume wa mwisho mweupe, amekufa huko nchini Kenya akiwa na umri wa miaka 45. Amewaacha faru wawili weupe wakike pekee. Faru huyo aliyepewa jina la 'Sudan' alikuwa akitibiwa kwa muda mrefu kwa tatizo la misuli na mifupa. Utafiti uliofanywa mwaka 2016 unakadiria kuwa...
  6. Kande

    Mtoto aliyezaliwa na miguu 3 afanyiwa upasuaji na kuondolewa mguu mmoja

    Mtoto wa mdogo wa miezi 10 kutoka China ambaye alizaliwa na miguu mitatu umefanyiwa upasuaji wa masaa kumi na kuondolewa mguu mmoja. Madaktari nchini China wamefanikiwa kuutoa mguu huo watatu na sasa amebakiwa na miguu miwili kama binadamu wengine. Madaktari waliomfanyia upasuaji wamesema...
  7. Kande

    Wakazi kata za Kalamba, Haubi watembea kilomita 100 kufuata matibabu Kondoa Mjini

    Serikali imetoa milioni 600 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya kitakachengwa katika kitongoji cha Itongwi kata ya Kalamba wilayani Kondoa ili kutatua changamoto ya upatikanaji wa huduma za afya. Wakazi wa kata za Kalamba na Haubi wilayani Kondoa mkoani Dodoma wanalazimika kutembea umbali wa...
  8. Kande

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima apiga marufuku wananchi kupiga yowe

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima, amepiga marufuku utaratibu wa wananchi wa vijiji vitatu vya Remng’orori, Mikomarilo na Sirorisimba vilivyoko katika wilaya za Bunda, Serengeti na Butiama vinavyogambania mipaka ya wilaya zao, kupiga yowe pale inapotokea kuwapo na jambo la hatari. Marufuku hiyo...
  9. Kande

    Kilichojiri: Uzinduzi wa Ripoti ya 'Facing Forward: Schooling with Learning in Africa'

    Habari wadau wa JF, Leo tena Benki ya Dunia kwa kushirikiana na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wanakutana kwenye ukumbi Council Chamber hapa UDSM kwa ajili ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti juu ya Mstakabali wa elimu Afrika ('Facing Forward: Schooling with Learning in Africa'). Mgeni Rasmi...
  10. Kande

    Jinsi jitihada za Lewis kumuua Malikia Elizabeth II zilivyokwama

    Shirika la Ujasusi la New Zealand (SIS) limethibitisha kwa mara ya kwanza kwamba kulikuwa na jaribio la kumuua Malikia Elizabeth II wakati alipotembelea jiji la Kusini la Dunedin mwaka 1981. Jaribio hilo la kumuua Malikia linalodaiwa kutekelezwa na kijana wa kiume limechochea hamasa ya polisi...
  11. Kande

    'Mobile Banking' inavyozinusuru taasisi za fedha dhidi ya anguko la uchumi

    Benki ya Equity imezindua huduma ya 'Eazzy Banking' itakayowawezesha wateja wa benki hiyo kufanya miamala ya fedha popote walipo na wakati wowote. Akizindua huduma hiyo leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity, Joseph Iha amesema 'Eazzy Banking' inakusudia kusogeza...
  12. Kande

    Wanaojipiga 'Selfie' hatarini kupata magonjwa ya akili

    Utafiti mpya unaonyesha kuwa tabia ya kujipiga picha mwenyewe (selfie) na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii ni ugonjwa wa akili ujulikanao kitaalamu ‘Selfitis’ ambapo mgonjwa wa tatizo hili hugunduliwa kwa idadi ya picha alizopiga na kuziweka kwenye mitandao ya kijamii. Watafiti kutoka...
  13. Kande

    Mafao ya NSSF yachukua sura mpya Ilala

    Wakuu Niko hapa ofisi za NSSF Ilala karibu na Mwalimu Complex nafuatilia mafao yangu baada ya kuachishwa kazi katika kampuni moja ya kichina mwaka mmoja uliopita. Lakini hali iliyopo hapa, watu wamepandwa na hasira baada ya kuambiwa hawawezi kupata mafao yao kwasababu shirika liko kwenye...
  14. Kande

    Maambukizi ya UKIMWI, makaburi yanavyopunguza ardhi ya kilimo Tanzania

    Kilimo ni sekta ya uzalishaji ambayo huchangia kukuza pato na kuimarisha uchumi la taifa. Tanzania ikiwa ni nchi inayotegemea kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wake, mipango na mikakati mbalimbali imetekelezwa na serikali ikishirikisha wadau wa maendeleo kuboresha kilimo ili kiwe cha manufaa...
  15. Kande

    Malipo baada ya matokeo kuwanufaisha walimu shule za msingi

    Taasisi ya Twaweza kupitia mradi wa KiuFunza (Kiu ya Kujifunza) ambao unatekelezwa kwa miaka 5 unalenga kumfikia mwalimu mmoja mmoja ambaye anaonyesha juhudi za makusudi kuwafundisha wanafunzi wafikie malengo yao. Mradi huo ni mahususi kutoa motisha ya fedha kwa walimu ambao wanafunzi wao...
  16. Kande

    John Shibuda: Adui wa Demokrasia nchini ni njaa ya wanasiasa na kusumbukia matumbo yao

    John Shibuda, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini amesema adui mkubwa wa ustawi wa Demokrasia Tanzania ni njaa ya wanasiasa ambayo inawafanya kusumbukia matumbo yao na kuacha pembeni maslai ya taifa. Amesema hayo leo katika mdahalo uliondaliwa na Twaweza kujadili Mstakabali wa...
  17. Kande

    Umoja wa Ulaya: Ili Tanzania ifikie uchumi wa viwanda ni muhimu izingatie misingi ya demokrasia

    Umoja wa Ulaya (EU) Kupitia Kamishna wa Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo, Neven Mimica umesema utaendelea kushirikiana na Tanzania katika miradi ya Maendeleo ili kujenga jamii inayoheshimu misingi ya demokrasia. Akizungumza Leo na Waandishi wa Habari, Kamishna huyo amesema wanaendelea...
  18. Kande

    Askofu: Magufuli kamilisha mchakato wa katiba mpya

    Serikali imeshauriwa kufufua mchakato wa kupata katiba mpya ili iweze kufanikiwa katika mapambano dhidi ya rushwa na kuboresha maisha ya watanzania. Mchakato wa katiba mpya ulikwama baada ya kufika kwenye Bunge la Katiba mwaka 2015, ambapo hatua iliyobaki ilikuwa ni kupigiwa kura ya maoni na...
  19. Kande

    Wamahabari watakiwa kuripoti taarifa sahihi za hali ya hewa

    Waandishi wa Habari wametakiwa kuripoti taarifa sahihi za hali ya hewa ili kuwasaidia wananchi kuepukana na athari zinazotokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Agnes Kijazi katika warsha ya wanahabari iliyofanyika leo...
Back
Top Bottom