Search results

  1. Nambe

    we mwana weeeee

    habar za mwaka mpya wapenz....... Jaman watoto hawa,,,,,,,,,,,,, mwe.......shigha du.... Niko mkoani huku ukweni karibu mwez na visiku sasa, hapa nyumbani, kuna kawifi kangu ndio kwanza kana miaka 14, ndio kanaingia kidato cha pili mwaka huu....................... Tangu nimekuja nyumban hapa...
  2. Nambe

    Nimshaurije mie

    leo niko na mishe zangu, nashangaa bi mdada huyo Ni wifi ambaye pia ni rafiki yangu kipenz, kama wiki tatu zilizopita waligombana na kaka yangu ambaye ni mpenz wake, yy akaamua kuachana nae, kwa madai kuwa amaemchoka, ni kweli huyu bi mdada anampenda sana hy my bro na amefanya mengi kwa ajili...
  3. Nambe

    nimegundua

    nimetoka kidogo nje, meacha laptop yangu ikiwa on, tena nkiwa jf, kuna kabint kako hapa home nlikaacha kanchek tv, nimeingia hapa ghafla nimekakuta na kenyewe kanaperuz humu, hii imenifanya nihc kuwa kuna wengi wetu humu wanaopostiwa vitu na watu wengine bila wao kujua lol.......ndio maana na...
  4. Nambe

    hapa kuna utata

    mambo mmu, jaman kuna ka mkasa kametokea kwa jiran yangu kamenipa maswali kidogo Jana jirani yangu ni Mnijeria, ameniita akaanza kulalamika kwamba binti wa kazi kampa mwanae nyonyo, ilikuwaje?? mwanamama huyu alikuwa nje na binti alikuwa ndani na mtoto wa miaka 5, mama akasikia binti na...
  5. Nambe

    pumbafffffffffffffffffffffffff fffffffff..................... ...........

    Baba - Unamfaham Nyerere? Mtoto - Hapana! Baba - Pumbavu.. kuwa makini na masomo yako! Mtoto - Unamfahamu Hamisi? Baba - Hapana. Mtoto - Pumbavu.. kuwa makini na ndoa yako!
  6. Nambe

    Hapana kojoa

    Mama wa kijaluo alienda hospitali baada ya kujisikia mwili hauko vizur, alipofika hospitali mazungumzo yake na doc yalikuwa hivi doc : mama unasumbuliwa na nn mama : hapana kojoa doc : enhe hlo tatizo la kutokukojoa limekuanza lin? mama : Nasema hapana kojoa( kwa hasira kidogo) Doc : (kwa upole)...
  7. Nambe

    housegirl ni Mke mwenzio!!!!!!!!

    Mama kama unataka ndoa yako idumu na mume wako  akupende sana, kama una haousegirl jitahd kumkabidhi mzee atembee nae huko huko ndani,na usimnyanyase kwa kuwa ni mke mwenzio wa ukweli, mume atakupenda na utakuwa mwanamke a pekee. Mume atakuwa nawah kurudi nyumbani na kingine mshauri aongeze...
  8. Nambe

    Ya kweli haya??????

    Kuwa Mjanja kama Zitto Kabwe, uwe mwepesi kuchukua uamuzi kama Deo Filikunjombe, hakikisha una msimamo kama Godbless Lema, usisahau kuwa na maamuzi mazito kama Lowassa, na uwe unatii maelekezo ya wakubwa wako kama Pinda, usipende mikwara kama Wassira! Ukipenda sometimes uwe na mizuka kama Aggrey...
  9. Nambe

    tuwe tunawasikiliza watoto mapema

    mama alitoka job, kuingia tu ndan mwanae mdogo kampokea na kumwambia mamy subr nikuammbie kitu, mama akamkatisha, akamwambia utaniambia baadae coz saa hz naenda kupika, akiwa anapika mtoto kaanza "mama leo...." mama akamkatisha tena, bas baadae wakiwa wamekaa wote dining wanakula yaan familia...
  10. Nambe

    Mtoto na ukimwi

    Jamaa mmoja alikuwa anaambiwa kila siku na wazazi wake bwana mwanao huyu amekuwa mkubwa msilale nae tena kitanda kimoja jamaa anadai dogo bado hajui ki2 bac siku moja jamaa na mke wake wakaenda na mtoto kwenye semina ya ukimwi, mtoto alikuwa kimya kweli akisikiliza, wakarudi nyumban usiku jamaa...
  11. Nambe

    bangi nowmeeeeerrrrrrrrrrrrrrr

    Jamaaa mmoja alikuwa na rafiki zake ambao ni wavuta bangi, sasa cku zote ye alikuwa anakunywa tu pombe wakati wenzie wanavuta, siku moja rafiki zake wakamshawishi na yeye ajaribu aone raha yake, basi kwa kuwa jamaa walikuwa wamekaa kilabuni huku wanakunya pombe na wakivuta kwa siri, walikuwa...
  12. Nambe

    padre na jogoo

    Padre mmoja alipoteza jogoo wake, akaona aulize kanisani baada ya ibada kama kuna muumin kamuona jogoo wake, basi padre akuliza jaman kuna mtu ana jogoo wanaume wote wakasimama, padre akasema naona hamjanielewa nauliza hivi kuna mtu ameona jogoo, wanawake wote wakasimama, padre akasema jaman...
Back
Top Bottom