Nambe
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 1,451
- 534
habar za mwaka mpya wapenz.......
Jaman watoto hawa,,,,,,,,,,,,, mwe.......shigha du....
Niko mkoani huku ukweni karibu mwez na visiku sasa, hapa nyumbani, kuna kawifi kangu ndio kwanza kana miaka 14, ndio kanaingia kidato cha pili mwaka huu.......................
Tangu nimekuja nyumban hapa kabinti kamebadilika, si kaongeaji tena wala kachangamfu kama mwanzo, kutwa nzima kamejifungia chumban, kanawah kulala wakat mwanzon kalikuwa kanakesha kwenye luninga,,,binafsi nikaona si kawaida nikaamua kufanya uchunguzi binafsi, siku hyo kameenda tuition naingia room nakumbana na card ya xmas na za mapenz hz, nilipoziangalia vzur zilikuwa za kutumwa kwa mpenz ambaye yuko mkoa mwingine, kwa maana hiyo huyo mupenz ni mwanafunz mwenzie.....
Nikazificha zile card, alivorud akakuta hazipo aka-mute tu......
Sikumuuliza kitu, zikapita kama siku tatu hv akatumwa na bi mkubwa ghafla mie nkazama room, kucheki chini ya mto naona simu nikaichukua, hakuuliza ila alishtuka mbaya......mesage nlizokuta humo sasa, simu nlizopigiwa usiku dah, dogo ana midume kama mitatu hivi, halaf sasa anaomba mpaka hela na anatumiwa....nikachokaa .....
Dogo kwa jins anavyojiamin kesho yake tu akarenew line yake akawa anatumia kwa dada wa jirani, huyo dada hayupo anatumia ya bimkubwa wake bila mwenye simu kushtukia, nimemfatilia sijamwambia wala kumwonyesha ishara yoyote kuwa najua,
Bado sijamwambia mamake, nilitaka nimkanye mwenyewe lakini naona dogo ashakuwa proffessional.......
kwa hali hii haki ya nani kazi ipo na hawa watoto..................