Ya kweli haya?????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya kweli haya??????

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Nambe, Apr 29, 2012.

 1. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kuwa Mjanja kama Zitto Kabwe, uwe mwepesi kuchukua uamuzi kama Deo Filikunjombe, hakikisha una msimamo kama Godbless Lema, usisahau kuwa na maamuzi mazito kama Lowassa, na uwe unatii maelekezo ya wakubwa wako kama Pinda, usipende mikwara kama Wassira! Ukipenda sometimes uwe na mizuka kama Aggrey Mwanri utauza sana kwenye TV! Lakini Moto wako usipoe kama Prof Tibaijuka, usichelewe kutoa siri kama Waziri Omar Nundu, Penda kuwa na uhusiano mzuri na wapinzani wako kama alivyo JK, Simamia haki bila kuogopa kama Samuel Sitta, Mungu akusaidie usiwe na damu ya kunguni kama cheo cha waziri wa Nishati, uwe na mvuto kama Mwakyembe, hakikisha Data zoote unaweka kichwani kama Magufuli ili watu wakufagilie! mwisho ukifurahi tumia lafudhi ya Spika kusema Asaanteeee!
   
Loading...