bangi nowmeeeeerrrrrrrrrrrrrrr

bangi nowmeeeeerrrrrrrrrrrrrrr

Nambe

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
1,451
Reaction score
534
Jamaaa mmoja alikuwa na rafiki zake ambao ni wavuta bangi, sasa cku zote ye alikuwa anakunywa tu pombe wakati wenzie wanavuta, siku moja rafiki zake wakamshawishi na yeye ajaribu aone raha yake, basi kwa kuwa jamaa walikuwa wamekaa kilabuni huku wanakunya pombe na wakivuta kwa siri, walikuwa wakipitishiana ganja kwa zam, ilikuwa inapita round, jamaa akapiga pafu la kwanza akakohoa kidogo, ilvyopita zam ya pili akavuta tena bac akaanza kucheka tu mfululizo bila kunyamaza, wenzie wakaendelea kupiga story huku wanacheka ghafla jamaa akaaanza kupiga mayowe kwa nguvu mbaya, kila wenzie wanavyoendelea kucheka ye anaongezea mayowe, ilikuwa balaaaaaaa, kesho yake alipoulizwa akadai kilio kilikuwa kinakuja automatic tu.
 
weee unacheza na bangi....uanweza ukavua nguo katikati ya barabara halafu ukaanza kuachia mzigo ukidhani uko chooni!!!!!!!!!!
 
bangi nuksi kweli lol
 
Kohokoho here, kohokoho there, Bwanashamba aje farm iya iya oo. Nitakwambia kesho nilichojifunza.
 
Jamaaa mmoja alikuwa na rafiki zake ambao ni wavuta bangi, sasa cku zote ye alikuwa anakunywa tu pombe wakati wenzie wanavuta, siku moja rafiki zake wakamshawishi na yeye ajaribu aone raha yake, basi kwa kuwa jamaa walikuwa wamekaa kilabuni huku wanakunya pombe na wakivuta kwa siri, walikuwa wakipitishiana ganja kwa zam, ilikuwa inapita round, jamaa akapiga pafu la kwanza akakohoa kidogo, ilvyopita zam ya pili akavuta tena bac akaanza kucheka tu mfululizo bila kunyamaza, wenzie wakaendelea kupiga story huku wanacheka ghafla jamaa akaaanza kupiga mayowe kwa nguvu mbaya, kila wenzie wanavyoendelea kucheka ye anaongezea mayowe, ilikuwa balaaaaaaa, kesho yake alipoulizwa akadai kilio kilikuwa kinakuja automatic tu.

Du;kweli jamaa walevi...hadi wakaanza ku*** pombe?
 
jamaaa alipiga ukunga usiku mzima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom