Search results

  1. T

    Msaada Jinsi ya kujiunga Police kwa sasa

    Bado tunaendelea na uhakiki
  2. T

    Hongereni zoomTanzania kwa maboresho

    Kazi ninayofanya sasa nimeipata kupitia zoom na nashukuru kwa ninacholipwa.Ila to be honest GUI (Graphical User Interface ) ya sasa ya Zoom sijaipenda,ni bora wangekua wanalist tu ajira bila kuweka mapichapicha.
  3. T

    Mfanya kazi wa ndani (kulea mtoto)

    Ukifanikiwa kumpata tunaomba usimnyanyase mana kati ya wafanyakazi wanaoongoza kwa kunyanyaswa ni wafanyakazi wa ndani.:):):):):)
  4. T

    Ajira mpya zisipotoka serikalini mwezi huu hali itazidi kuwa ngumu mtaani

    Pesa nadhani ni tatizo mana utamuajiri mtu halafu utamlipa nini na wengi wetu hatupendi kusikia upuuzi unaoitwa internship
  5. T

    Ni ruksa kumtongoza Askari wa kike akiwa ndani ya Sare za kazi

    Tena wakiwa ndani ya sare za kazi mistari ndo inawaingia kiutamu kweli
  6. T

    Hapa nilimjibu vizuri au nilikosea ?

    Ha ha hah....njoo inbobo
  7. T

    Hapa nilimjibu vizuri au nilikosea ?

    Habari zenu wadau, Kama wiki hivi imepita kuna Dada mmoja kanifuata inbox kwenye Facebook messenger akanisalimia kisha akaanza kuniuliza maswali kwamba nafanya kazi kwenye Ofisi gani na je nimeoa au nina mtoto na kama hivi vyote bado sijavifanya he nina mpango wa kuoa lini.Nadhani Huyu binti...
  8. T

    Mliokua DUCE kwenye Usaili wa mchujo wa TPA pitieni hapa

    Kama hali ndo iko hivyo bora niendelee kuheshimu kibarua changu kinachonipatia mkate wa kila siku mana nilishakataga tamaa na ajira za serikali.
  9. T

    Kumbe wanawake wanapenda kudanganywa

    Kuna dada mmoja alikosea namba kwenye simu yangu sasa tukajenga urafiki wa kawaida mwishowe nikamtongoza lakini aliniuliza kama nina mke au la. Kwakuwa sikutaka baadee aje agundue kama nilimdanganya nikaona nimwambie ukweli kwamba nina mke. Dooooooooh hapo utafikiri ndo nilimuongezea speed ya...
  10. T

    SIONI UMUHIMU TENA WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

    Kwa hali jinsi inavyokwenda mifuko ya jamii inaonekana imeshindwa kujiendesha sababu kumuambia mtu aliesitisha mkataba na kampuni aliyokua anafanya kazi kwamba asubiri miaka 55 ndo aende kuchukua mafao yake hii haiingii akirini. Unakuta mtu ameajiriwa na kampuni flani kwa mkataba let say wa...
  11. T

    Sina imani na huduma ya kulipia UDART kwa Mpesa

    Habari za muda huu waungwana, Nimeongeza salio kwenye kadi yangu ya Udart kwa mpesa na nikarudishiwa ujumbe kwamba nimefanikiwa kulipia kadi yangu na wamenitumia hadi namba ya risiti,chakushangaza nimeenda kwenye kituo chao kucheki balance lakini salio nililoweka halionekani.Sio kama nimekosea...
  12. T

    Mbinu rahisi za kumtokea mkaka

    Fanya kazi acha mapenzi utafukuzwa
  13. T

    Kuhusu Vodacom 4G

    Fomu ya maombi ya kujiunga na vodacom 4G ina utitiri wa maswali yasiyokua ya lazima,wanauliza mambo mengi sana ambayo sidhani kama yana uhusiano wowote na huduma hii ya 4G. Yani maswali ni mengi utadhani unajaza fomu ya kuwaomba ajira,mbona Tigo wako simple sana hawana hizi complications...
  14. T

    Asilimia 15 ya Bodi ya Mikopo kuanza kukatwa kwenye mshahara ghafi(basic) kuanzia mwezi Januari

    Haya makato yatawaathiri indirect hata wale ambao si wanufaika wa mkopo,nasema hivyo kwasababu lets say mzazi anakutegemea kila mwezi umnunulie walau kiroba cha unga cha kilo 50 sasa kwa makato haya hutokua na uwezo tena wa kumsaidia kwa kiwango icho mana makato ni makubwa sana.Mimi si mnufaika...
  15. T

    Awamu hii maisha mazuri hayatakiwi??

    Mimi kura yangu ilienda kwa Lowassa na naamini ilienda sehemu sahihi.
Back
Top Bottom