Search results

  1. KIPANYA

    Natafuta soko la pilipili mbuzi

    Jamani nina shamba la pili pili mbuzi, zipo tayari kwa kuvunwa, naomba kupata soko lake na bei
  2. KIPANYA

    NAHITAJI SULPHER POWDER , MWENYE NAYO ANICHEKI

    nahitaji sulpher powder ya njano
  3. KIPANYA

    GYPSUM

    Jamani nina sehemu ya kuchimba minerals za gypsum sasa nahitaji kujua soko lake ntalipata wapi na huwa wananunua kwa tani au? Naombeni ufahamu kwa hayo, maana nina eneo kuubwa sana lina hizo product
  4. KIPANYA

    Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

    Kwa mwezi huu huwa wanatoa kwa awamu 2 au? Maana Mimi nilipeleka tarehe za mwisho za mwezi wa 6 mkoani ili yaende tamisemi! Na inamaana kama mkoani walipeleka mwezi wa 7 it means hadi January 2016? Nisaidieni ufahamu
  5. KIPANYA

    Ufahamu kuhusu CISSA

    Shukran kaka
  6. KIPANYA

    Ufahamu kuhusu CISSA

    Wana JF naomba kuuliza. Hivi ukiwa na diploma ya IT u aweza kusoma cissa au hadi uwe Bch au Masters ?
  7. KIPANYA

    Nina shida na software ya ARCMAP 9.3

    Wana Jf naomba mwenyewe software ya ARCMAP 9.3 aniwezeshe jamani.
  8. KIPANYA

    CISA vs ACCA

    Ada ya cisa ni sh.ngapi eti jamani
  9. KIPANYA

    Msaada wa program ya print shop

    naomba yeyote mwenye program ya printshop jamani anisaidie.
  10. KIPANYA

    Mapenzi kwa njia ya mdomo, ni chanzo kikuu cha saratani ya koo

    Aiseeeeeee! Wazeee wa kitu cha chumvi muache jamani.
  11. KIPANYA

    Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa

    Ila aiingiii akilini kwa kweli! Sasa alibeba na lift au torori huyo mtoto wa kike? Mifuko 3 ya cement jamani sio mchezo
  12. KIPANYA

    Membe: Msije Dar wakati wa ziara ya Obama

    Bado viongozi wetu ni dhaifu kwa mataifa makubwa
  13. KIPANYA

    Je usemi huu n kwel?

    Mhh! Tunawaachia wenyewe! No comments
  14. KIPANYA

    Nunda zaidi ya ujuavyo

    sio nzuri!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  15. KIPANYA

    msaada namna ya kuchakachua internet ya mtandao wowote ule

    vya bure vibaya bana. 500 tu siku nzima kaka
  16. KIPANYA

    MSAADA WA DRIVER ZA PRINTER, Hp LASERJET 1200

    Naomba mnisaidie hiyo driver ya printer hp laser 1200
  17. KIPANYA

    Naombeni msaada jamani

    NIMEBADILISHA OPERATING SYSTEM KWENYE LAPTOP YANGU AINA YA ( iNSPIRO 1525) DELL, DRIVER ZA SAUTI ZIMETOKA,PAMOJA NA VGA COMPATIBLE NAOMBENI MSAADA MWENYE NAZO ANITUMIE
  18. KIPANYA

    Wana jf, nahitaji program ya printshop

    Naomba mwenye program ya printshop anitumie jamani
Back
Top Bottom