Search results

  1. lady mmarangu

    Msaada: Nimepigwa na upepo usoni nimepata na hali isiyoeleweka

    Naamin wote mko salama kwa uweza wa MWANA WA MUNGU ALIYE HAI. Jana niliamka salama kabisa,nikatoka kidogo kwenda kutafutia watoto mboga,kufika tu kibandani nikapigwa upepo kidogo tu usoni , Nimerudi nyumbani naumwa usoni upende wa kulia kwa ndani,na nyuma ya sikio kama vile mishipa ndo inauma...
  2. lady mmarangu

    Tatizo la muwasho wa sehemu za siri kwa mtoto

    Mtoto mdogo wa kike kuwashwa Seham zake za siri chanzo ni nini? Naomba msaada wenu wa haraka pls. Doctor aliyepo online msaada wako pls. Mtoto ana mwaka na miezi 7.
  3. lady mmarangu

    Mimba kutokukuwa

    Habarini za Asubuhi wapendwa naomba kuuliza hivi nini kinasababisha mimba kutokukuwa?nina ndugu yangu ni mjamzito wa miezi mi tatu,ila kila anapoenda kwa doctor anaambiwa hakuna mabadiliko yani mtoto haongezeki,nini tatizo wapendwa naomba masaada wenu wa haraka.
  4. lady mmarangu

    Kukosa siku

    Wapendwa za muda huu, naombeni kujuzwa kukosa siku za hedhi kunatokana na nini na hakuna ujauzito!na matibabu yake ni nn?
  5. lady mmarangu

    Chuma ulete

    Za jioni wa kuu!nahitaji msaada wenu wa hali na mali.kuna kitu kinachukua pesa kwa waleti yangu,na ni mara ya 3 inanitoke, na kinachotokea mimi nahisi ni mke wangu kachukua,mke wangu nae ahisi ni mm mwenyewe najiibia, wakuu nahitaji mchango wenu,.
  6. lady mmarangu

    Sijui kuandika English

    Wanajamvi za mda huu nina shida ya kutokujua kuandika ngeli naomba msaada wenu,kuongea najua ila kuandika ndo issue.ntashukuru kama mtanisaidia kwa hilo mana niko form 2.napaya shida sana darasani
  7. lady mmarangu

    Wanaume, simu zenu zina nini?

    Wanajamvi natumai siku yenu imeisha salama salimini, Hivi inakuwaje mwanaume una mke, ila kucha kutwa uko bzy tu bado, jamani mnatafuta nini huko au kuna la ziada? Mwanaume anakula na sim mkononi ni ku chart tu na wanawake mnaandikiana sms za ngono tu, mwanaume una lala sa sita kisa...
  8. lady mmarangu

    Mgeni

    H! Wana forum!,mgeni mwenyeji!,
  9. lady mmarangu

    Wanaume, kwanini mnapenda kuoa mwanamke mwenye bikira?

    Ndugu zangu, Natumai ndo mmetoka kibaruani au wengine ndo mama wa nyumbani kama mimi, wengine ndo kwanza wako kwenye vyombo vyao vya usafiri kurejea home.Poleni na mihangaiko ya kutwa. Wana JamiiForums nijuzeni hasa wanaume, kwanini mnapenda kuoa mwanamke ambaye ni bikira. Na ukianza mahusiano...
  10. lady mmarangu

    Ugonjwa usioeleweka

    Wana jamvi habarini ya mda na wakati kama hii,naombeni ushauri wenu mana hali kama hii inatatanisha,kuna mtoto wa ndugu yangu wa miaka 7,alishikwa na home kali kwa gafla,waliosema lao wakasema ni dege dege kupelekwa hospital akalazwa nakupewa dawa zisizo julikana mana walikuwa wanamchoma...
  11. lady mmarangu

    Ulicho kitaka ndicho ulicho kipata?

    Hivi kabla hujaoa au kuolewa!huyo mweza ulie muoa au kuolewa nae,umekuta %100 yuko pafect,nikiwa namanisha kila kitu anajua?mfano mwanamke ulie mwoa anajua shughli zote za nyumbani!!na mwanaume ulioeolewa nae anajua kupangilia mambo yake ya kioffice?? Hebu tushee hii kitu kidogo. nawakilisha...
  12. lady mmarangu

    Idd Amin dada vs North Korea president

    Wakuu wa nchi naona huyu kichaa wa north Korea na na Iddi Aman wa uganda hawana tofauti sana .huyu wa NK alimua mjomba wake na waziri wa ulinzi tena walipigwa na kombora la kutungulia ndege eti kisa amesinzia kwenye mkutano .so sad
  13. lady mmarangu

    Je, tabia hizi zinasababishwa na ugonjwa wa kisukari?

    Hivi jamani wana JF, tabia za mtu mwwnye kisukari ni zipi? Maana kuna tabia mume wangu anazo kwa kweli zinanichosha sana. Kuongea kwa upole kwake ni issue, kitu kidogo anakufokea then anazira hapahapo na kujitenga kama vile mimi ndo mwenye makosa! Je mwanume akiwa hana uwezo wa...
  14. lady mmarangu

    Msaada: Nahitaji mtoto

    Nahitaji msaada wenu ndugu zanguni, mume wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukura ya pata miaka 2 sasa, na tunahitaji mtoto ila imekuwa ni shida kupata ujauzito kutokana na hiyo hali yake. Imefikia hali mpaka manii hazitoki kabisa nisaidieni jamani. Nawakilisha hili nahitaji mchango wenu.
Back
Top Bottom