Msaada: Nimepigwa na upepo usoni nimepata na hali isiyoeleweka

lady mmarangu

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
306
164
Naamin wote mko salama kwa uweza wa MWANA WA MUNGU ALIYE HAI.

Jana niliamka salama kabisa,nikatoka kidogo kwenda kutafutia watoto mboga,kufika tu kibandani nikapigwa upepo kidogo tu usoni ,
Nimerudi nyumbani naumwa usoni upende wa kulia kwa ndani,na nyuma ya sikio kama vile mishipa ndo inauma yani hata kutafuna kitu siwezi , ukweli nasikia maumivu dah! Msada kwa anayeweza kujua shida ni nini.
 
Question
Una mafua or jicho linauma au kutoa machozi or ukiangalia chini maumivu yanaongezeka?
Anyways unaweza kuwa na
Sinusitis
Cluster headache
 
Una infection nenda hospitali wakupe antibiotics
 
Chukua sindano ipashe moto sasahivi kisha toboa kidogo katika vidole vyko vyote 10 hakikisha damu inatoka kidogo.ukimaliza fanya hivyohivyo na nyuma ya maskio yote mawili.usichelewe tafadhali.
 
Naamin wote mko salama kwa uweza wa MWANA WA MUNGU ALIYE HAI.
Jana niliamka salama kabisa,nikatoka kidogo kwenda kutafutia watoto mboga,kufika tu kibandani nikapigwa upepo kidogo tu usoni ,
Nimerudi nyumbani naumwa usoni upende wa kulia kwa ndani,na nyuma ya sikio kama vile mishipa ndo inauma yani hata kutafuna kitu siwezi , ukweli nasikia maumivu dah! Msada kwa anayeweza kujua shida ni nini.
Ni upepo wa Kisuli suli. Utapita tu. Usijitie hofu kwa kuwaza mengine...
 
Naamini kabisa huyu mtu ana shida na anahitaji msaada tofauti na wengi walivyolichukulia hili jambo.

Pia nahisi huyu mtu anahofu katika yale mambo ya kupigwa upepo wa kupalalaizi, mdomo kwenda upande nk.
Hivyo jamani msaidieni hata kwa mawazo tu.
 
Chukua sindano ipashe moto sasahivi kisha toboa kidogo katika vidole vyko vyote 10 hakikisha damu inatoka kidogo.ukimaliza fanya hivyohivyo na nyuma ya maskio yote mawili.usichelewe tafadhali.
Kwa nini nitumie sindano mkuu inasaidia nini ?
 
Question
Una mafua or jicho linauma au kutoa machozi or ukiangalia chini maumivu yanaongezeka?
Anyways unaweza kuwa na
Sinusitis
Cluster headache
Kichwa ndo kinauma sana mkuu mpaka macho hayaoni vizuri
 
Naamin wote mko salama kwa uweza wa MWANA WA MUNGU ALIYE HAI.

Jana niliamka salama kabisa,nikatoka kidogo kwenda kutafutia watoto mboga,kufika tu kibandani nikapigwa upepo kidogo tu usoni ,
Nimerudi nyumbani naumwa usoni upende wa kulia kwa ndani,na nyuma ya sikio kama vile mishipa ndo inauma yani hata kutafuna kitu siwezi , ukweli nasikia maumivu dah! Msada kwa anayeweza kujua shida ni nini.
Ulihisi upepo umekupiga ila "LABDA" narudia "LABDA" haiukuwa upepo,hiyo labda ilikuwa ganzi,huenda ilikuwa upate stroke hapo. Hivyo Mshukuru Mungu amekuepusha.Angalia pia huenda utaona hata mdomo wako ulitaka kwenda upande.Tunatembea na magonjwa mengi.Nenda hospitali ukafanye general check up juu ya afya yako.
 
Wahi hospital isije kuwa stroke idhibitiwe mapema, pia usisahau kusali pia loh
 
Kichwa ndo kinauma sana mkuu mpaka macho hayaoni vizuri
Okay then
Possibility ni
Migraine
Cluster headache

Nenda hospital but treatment ni
Vasograin(Ergotamine) 1.5mg au Sumtriptan 50mg + dawa yoyote ya maumivu kwa acute relief
Then
Sodium Valproate or Verapamil kwa prophylaxis ya another attack.
Regards.
 
ohooo wahi kwa pappaa ukapigwe mbilinyunguu au hata 'kisomo'………….
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom