Msaada: Nahitaji mtoto

lady mmarangu

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
306
165
Nahitaji msaada wenu ndugu zanguni, mume wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukura ya pata miaka 2 sasa, na tunahitaji mtoto ila imekuwa ni shida kupata ujauzito kutokana na hiyo hali yake.

Imefikia hali mpaka manii hazitoki kabisa nisaidieni jamani.

Nawakilisha hili nahitaji mchango wenu.
 
pole mamy.... nenda hospitali wapime manii za mumeo na mayai yako kama bado yana afya ... kama yanaafya unaweza tumia njia za kisayansi kuwekewa mtoto wewe
 
Miss chagga,hatoi tena hizo manii mana mwanzo alikunywa sana pombe zikakata,ila ameacha mwezi wa 4 sasa
 
Pole ndugu ingekuwa vuzuri kama ungetueleza kama ameshapata tiba zozote zikafeli.
 
Na kuwekewa mtoto garama ni kubwa sana hatutaweza kulimudu hilo
mmmh...kama unaamini katika Mungu aliye hai yote yanawezekana...usisema hamtaweza...Mungu atatutumia sisi wengine kukusaidia wewe...you sound kama umekata tama...mi naamini mwanamke hupaswi kukata tama...ukikata tamaa wewe mmeo ndo hata weza kusimama tena!fight for your husband my sister!
 
!
!
Hiyo inaitwa Dry Orgasm na zipo dawa mbalimbali tu kwa tatizo hilo. Google au nenda pharmacy za ukweli utapata dawa na maelekezo ya nini cha kufanya. Ukishindwa niambie nikusaidie zaidi.
 
Nahitaji msaada wenu ndugu zanguni, mume wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukura ya pata miaka 2 sasa, na tunahitaji mtoto ila imekuwa ni shida kupata ujauzito kutokana na hiyo hali yake,imefikia mhali mpaka manii hazitoki kabisa nisaidieni jamani.nawakilisha hili nahitaji mchango wenu.
Kusukura ndiyo ugonjwa gani binti au unamaanisha kisukari? hebu jibu hilo kwanza!
 
Nahitaji msaada wenu ndugu zanguni, mume wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukura ya pata miaka 2 sasa, na tunahitaji mtoto ila imekuwa ni shida kupata ujauzito kutokana na hiyo hali yake,imefikia mhali mpaka manii hazitoki kabisa nisaidieni jamani.nawakilisha hili nahitaji mchango wenu.
Njoo Pm nikupe msaada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom