Wanaume, kwanini mnapenda kuoa mwanamke mwenye bikira?

lady mmarangu

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
306
Reaction score
166
Ndugu zangu,

Natumai ndo mmetoka kibaruani au wengine ndo mama wa nyumbani kama mimi, wengine ndo kwanza wako kwenye vyombo vyao vya usafiri kurejea home.Poleni na mihangaiko ya kutwa.

Wana JamiiForums nijuzeni hasa wanaume, kwanini mnapenda kuoa mwanamke ambaye ni bikira. Na ukianza mahusiano na mtoto wa watu na ukakuta siyo bikira mnawadharau sana. Sasa nataka nijue hiyo bikira ndo unaioa au ni nini?

Asanteni na nawakilisha.
 
Wanijuze tu mana nashindwa kutambua bikira ndo inapendwa au mtu mwwnyewe?
 
Bikra ni ishara moja wapo kama huyo mwanamke sio kicheche/malaya/mzinzi/mpigaShow .. pili bikra ukiitoa mwenywe unakua na ufahari sana na amani tofauti na kukuta wajanja washaitoa.

Maana ukikuta ishatolewa basi jua kuna ma profesional waliopitia hapo, na ukiwa una under score kuliko walio pita hapo maana yake lazima atachepuka tu. Ndo maana siku hizi michepuko mingi sana.
 
mmmh kitu uzoefu babu
hao wajinga wanaopenda bikra . mfanyakazi ili awe bora lazima awe na uzoefu na kazi.
ndo ukute mwanaume bikra unampa papu yako hadi asimamishe asubuhi inafika.. mi sitaki nataka mtu ambae amefanya mpaka amechoka style zote karudi kifo cha mende
 
Kuwa bikra ni uzembe tu
 
Well Ipo Raha Ya Kuoa Mwanamke Bikira Sana Sana Inatia Myo,heshima Na Kukufanya Kujiamin Zaidi,Lililo Jema Ni Ile Wa Kwanza Kuanza Ndani Ya Ndoa.. Muhmu Ni Mapenz Heshma Na Kuvumiliana Wakat Mwngne Unaweza Kupata Ata Kwa Ambae Si Bikra
 
Bikra ni ishara moja wapo kama huyo mwanamke sio kicheche/malaya/mzinzi/mpigaShow .. pili bikra ukiitoa mwenywe unakua na ufahari sana na amani tofauti na kukuta wajanja washaitoa.
Maana ukikuta ishatolewa basi jua kuna ma profesional waliopitia hapo, na ukiwa una under score kuliko walio pita hapo maana yake lazima atachepuka tu. Ndo maana siku hizi michepuko mingi sana.
Vipi akija kuwa kicheche baada y akumtoa hiyo bikira..??
 
Wadada watwambie wanajisikiaje bikra inapokuwa inatolewa ,yaani wanajiskiaje?
 
mmmh kitu uzoefu babu
hao wajinga wanaopenda bikra . mfanyakazi ili awe bora lazima awe na uzoefu na kazi.
ndo ukute mwanaume bikra unampa papu yako hadi asimamishe asubuhi inafika.. mi sitaki nataka mtu ambae amefanya mpaka amechoka style zote karudi kifo cha mende
Una mambo wewe....kama bado watafuta vile!!
 
Hivi nguo iliyovaliwa na mwenzako ni tofauti na mpya uliyo inunua mwenyewe
 
Back
Top Bottom