lady mmarangu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 306
- 165
Wana jamvi habarini ya mda na wakati kama hii,naombeni ushauri wenu mana hali kama hii inatatanisha,kuna mtoto wa ndugu yangu wa miaka 7,alishikwa na home kali kwa gafla,waliosema lao wakasema ni dege dege kupelekwa hospital akalazwa nakupewa dawa zisizo julikana mana walikuwa wanamchoma sindano,baada ya siku tatu akarusiwa siku ya 2,akaanza kuvimba mwili mzima,karudisha tena hospital ileile,cha kushangaza mwili mzima akawa kama ameungua moto,na hakuendelea tena kupatiwa matibabu,hali ikazidi kuwa mbaya,mpaka mama wa mtoto akawa makili ndo wakatoa fail ili apelekwe kcmc, kufika kcmc hali ikazidi kuwa mbaya! Kuangalia dawa alizopewa kwenye fail hazijaandikwa,ukimgusa tu mtoto unaondoka na Nyama, ma Doctar mlioko huku naombeni msaada wenu mana mtoto yuko I C U,