Search results

  1. N

    Msusi wa dreads anahitajika Mwanza

    Habari, Nahitaji msusi wa dreads awe: Anajua kubana style nyingi Kutwist vizuri sana Kufanya interlock Kufanya dreadlocks extension Na mengineyo Vigezo Awe tu mstaarabu, mwenye adabu na msikivu Mwenye nia ya kazi Anayeweza kufika kazini kila siku saa mbili kamili Asiwe na tabia za utoro wa...
  2. N

    Tetesi: MSAADA; Ni vip nipromote account yangu Instagram na facebook?

    Husika na kichwa cha habari, Naomba anayejua anisaidie jinsi ya kufanikisha kupromote account yangu ya insta na facebook. +255744597493
  3. N

    Je, atanifaa kama mke?

    Hellow Hili jambo linanitatiza saaaaana Kuna binti nimefahamiana nae kwa miezi kadhaa sasa, kiufupi tumeshakuwa wapenz rasmi kwa miezi hiyo almost mitano. Binti ni mzuri saaaana, yuko loyal sana kwangu, ananijali kwa kiasi chake, haniwangishi kichwa yaan sina wasiwasi nae.,tumeshakuwa na...
  4. N

    Je, ni Mkoa upi wenye mzunguko mzuri kwa Saloon ya wanawake?

    Habari wanajukwaa, Samahani nauliza ni mkoa upi na maeneo yapi naweza kufungua saloon classic ya wanawake? Saloon inayotoa huduma zote kuanzia kusuka kawaida, make up, dread n.k? Natamani/ nina mpango huo ila bado sijajua niende mkoa gani ambao bado haujawa na competition kubwa lakin pia...
  5. N

    Msusi wa dreads wa kiume anahitajika MWANZA

    Habari Natafuta msusi wa dreads ila awe wa kiume! VIGEZO! 1. Awe anajua kutwist na kubana style vizuri saaana 2. Awe na style mpya mpya sio zile zilizozoeleka 3. Awe na speed katika kumuhudumia mteja kwa maana anaweza pata wateja wawili kwa wakati mmoja afu akashindwa kuwahudumia wote. 4...
  6. N

    Msusi wa dreads wa kiume anahitajika MWANZA

    Habari Natafuta msusi wa dreads ila awe wa kiume! VIGEZO! 1. Awe anajua kutwist na kubana style vizuri saaana 2. Awe na style mpya mpya sio zile zilizozoeleka 3. Awe na speed katika kumuhudumia mteja kwa maana anaweza pata wateja wawili kwa wakati mmoja afu akashindwa kuwahudumia wote. 4...
  7. N

    Mkopo mkopo

    Habarini!! Kuna emergency imempata ndugu yangu flani/ mwanafamilia!! Anashida na mkopo wa milioni mbili (2,000,000) . wa haraka. Dhamana ataweka nyumba yake! Haina tatizo lolote lile na ina vibari vyote!! Yeye anapatikana Kagera ,dhamana hiyo ipo Karagwe!! Kama kuna mtu anaweza kutoa mkopo huo...
  8. N

    Mwanza: Nafundisha fani za urembo ambazo ni make up aina zote, henna ,kucha kwa bei ndogo sawa na bure

    Hellow kwa wale wapenzi wa fani hizo za urembo ambazo ni make up aina zote,kuremba kucha pamoja na kuchora Henna basi sisi tunafundisha fani hizo kwa gharama nafuu kabisa sawa na bure. ADA NI LAKI MOJA TU ( 100,000 ) KWA KILA FANI, ILA UNAWEZA KUPUNGUZIWA KIDOGO KWA MAONGEZI MAALUMU...
  9. N

    News Alert: anahitajika msusi na shughuli zote za salon ya kike

    Hellow A) Tunatafuta msusi wa aina zote za nywele za kike vigezo vinavyohitajika. - uzoefu wa mda mrefu -awe anajua kila aina ya style zote za nywele ikiwezekana na dreads -uaminifu -uwe na malengo ya kufanya kazi na sisi mda mrefu sana B) anatafutwa mkaka au mdada anayejua kazi zote za...
  10. N

    Tunatoa mafunzo ya fani za urembo kama make up aina zote, kucha na kuchora henna

    Hellow Wakazi wa MWANZA kwa wale wapenzi wa fani hizo za urembo ambazo ni make up aina zote,kuremba kucha pamoja na kuchora Henna basi sisi tunafundisha fani hizo kwa gharama nafuu kabisa sawa na bure. utafundishwa pia na ujasiriamali wa fani hizi ili uweze kutengeneza kipato kupitia fani...
  11. N

    Mwanza: Tunafundisha fani za urembo, make up aina zote, kucha na kuchora henna

    Hellow kwa wale wapenzi wa fani hizo za urembo ambazo ni make up aina zote,kuremba kucha pamoja na kuchora Henna basi sisi tunafundisha fani hizo kwa gharama nafuu kabisa sawa na bure. ADA NI LAKI MOJA TU ( 100,000 ) KWA KILA FANI, ILA UNAWEZA KUPUNGUZIWA KIDOGO KWA MAONGEZI MAALUMU...
  12. N

    Wapi nitapata mkopo huu

    Nina dhamana ya nyumba na duka viko mkoani,ila Mimi naishi Dar es salaam.ninaweza kupata wapi mkopo wa milioni 20? Nahitaji kukopa ili nipanue biashara yangu.sitaki kukopa CRDB au NMB kwa sababu ninayo mikopo huko japo nimebakiza miezi miwili nimalize hayo marejesho.Nataka niachane nao nibaki na...
  13. N

    Nifanyeje?

    Hivi kama naataka kumiliki minimum Bilioni 1 Tsh bila kupitia njia za haramu, je itatakiwa nifanyeje? a)itanibidi nitumie wastani muda gani mpaka kufikia kiasi hicho? b)itanibidi nifanye biashara gani ili niweze kufikia hicho kiasi c)nitaatakiwa kuishi maisha gani ili uweze kufikia kiasi...
  14. N

    Nitawashaje kifaa cha 250v bila umeme wa TANESCO?

    naomba msaada wenu, nitumie njia gani wakuu?
  15. N

    PICHA: Dispenser za juice nitazipata vipi?

    Kama hizi hapa ambazo ni used nitazipata wapi? Na je mpya ni sh ngapi?
  16. N

    Tigo network

    Hivi hili tatizo la network tigo lipo temeke tu au ni dsm nzima? Maana tangia jana simu ya tigo haisomi network yeyote ile. Anayejua hili naomba kuelezwa
  17. N

    Msichana anajeuri, anajisikia, nashindwa kufanya maamuzi

    Wakuu salaam, Samahani kwa nitakaowakwaza ila ni kwamba ninaelezea yanayonisibu na nahitaji ushauri wenu. Nina mpenzi wangu niko nae kwa miaka miwili mpaka sasa ila tumepitia changamoto nyingi sana,tumeshaachana na kurudiana,tumeshataka kuachana ila saa nyingine najitahidi kushikilia tena,sasa...
  18. N

    Mtaji wa milioni 4

    Mtaji wa milioni 4 Mtaji wa milioni 4
  19. N

    Mtaji wa milioni 4

    Wanajamii naomba msaada wenu katika hili. Mimi ni kijana nakaa Dar es salaam nasoma ila nimebahatika kupata mtaji kiasi hicho tajwa hapo juu.ni mkopo toka bank. Mimi nilifikiria kufungua mgahawa hapa Dar ila sasa napata mawazo na wasiwasi kuhusu mambo ya risk e t c. Kuna washauri humu...
  20. N

    Nikifanya nae mapenzi anaumia kwenye tumbo pembeni (kwenye nyonga)

    Wanajamii habari zenu, Mimi kuna tatizo linamkumba mpenzi wangu kila nikifanya nae mapenzi anasema eti mashine inamuumiza tumboni yaani kwa pembeni hivi karibia na nyonga. Ila hii inatokana na style tunazotumia anazodai zinamuumiza mfano mbuzi kagoma au missionary ila nikiwa nimepiga magoti...
Back
Top Bottom