newbeliever
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 248
- 48
Wanajamii habari zenu,
Mimi kuna tatizo linamkumba mpenzi wangu kila nikifanya nae mapenzi anasema eti mashine inamuumiza tumboni yaani kwa pembeni hivi karibia na nyonga.
Ila hii inatokana na style tunazotumia anazodai zinamuumiza mfano mbuzi kagoma au missionary ila nikiwa nimepiga magoti.
Hili tatizo linampata ila baada ya muda linapona anaweza akakaa hata siku nzima anaumia.
Naomba anaeyejua chanzo ni nini aniambie. Mie mashine yangu ni ndefu japo sio kivile, nene japo sio kivile.
Natanguliza shukrani.