News Alert: anahitajika msusi na shughuli zote za salon ya kike

newbeliever

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
248
48
Hellow

A) Tunatafuta msusi wa aina zote za nywele za kike

vigezo vinavyohitajika.

- uzoefu wa mda mrefu
-awe anajua kila aina ya style zote za nywele ikiwezekana na dreads
-uaminifu
-uwe na malengo ya kufanya kazi na sisi mda mrefu sana

B) anatafutwa mkaka au mdada anayejua kazi zote za saloon tofauti na kusuka

vigezo

-uzoefu
- awe anafahamu shughuli zote sio kubahatisha mfano kuset,kuosha,kuweka rangi kichwani na kadhalika
-uaminifu
-uwe na mpango wa kufanya kazi na sisi kwa mda mrefu

Tunapatikana Mwanza mjini kati.

kwa anayehitaji anicheck kwenye hii namba 0744 597 493


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom