Search results

  1. M

    Mwalimu wa Geography

    Habarini wanajamii forum kwa Majina naitwa Shadrack Kitalika. Ni muhitimu chuo kikuu Teofilo Kisanji TEKU ngazi ya degree nimesomea BAED (bachelor of Arts with education) masomo yangu ni History and Geography Nilikuwa naombeni nafasi ya kufundisha Shule ya secondary popote pale Tanzania naahidi...
  2. M

    Msaada kuhusiana na hizi tecno c5 na c8

    jaman naombeni msada wenu juu ya matumiz ya button iliopo upande wa kulia chin ya button ya kuwashia kwenye hz cm za tecno c5 na c8
  3. M

    Mama na mtoto wanyongwa, wachinjwa kinyama kijiji cha Kaole, Bagamoyo

    Watu wawili mama na mtoto wamenyongwa hadi kufa kisha kuchinjwa kama kuku maeneo ya Kaole jion ya jana. Habari kutoka Kaole; Majira ya saa 12 jioni jana, ilipita pikipiki eneo hilo ikiwa imepakiza watu watatu, dereva wa nne! Wanaume wawili, mwanamke na mtoto. Walipofika eneo la darajani...
  4. M

    from green city

    Natafuta mwanamke umli +30 kama yupo anchek private messeg nko seriously
  5. M

    Mtoto wa miezi kumi kumaliza lita ya maziwa kwa siku moja

    Hiv et mtoto mwenye umli w Miez kumi anaweza maliza kunywa maziwa yenye ujazo wa lita moja kwa siku au
  6. M

    Namna ya kutengeneza betry ya simu iliokufa

    Wana JamiiForums kama kuna mtu anajua jinsi ya kuirudisha Betty iliokufa katika ubora wake atuelekeze maana nimesoma mtandao nmekutana na njia ngumu kidogo naombeni msaada wenu.
  7. M

    Easter hiyo........

    Hivi n vioja vya easter mzee katisha sana
  8. M

    Natafuta kaz ya kufundisha

    Wadau wahii forum mm nina karibia kuhitimu chuo katik fun ya uwalimu wa geography and history ngaz ya dgree natafuta kaz maeneo ya mbeya kwa kipato chochote kile ili niwe busy tu kuliko kukaa bure wasiliana nami kwa simu nmba 0755638950
  9. M

    Je ni kweli kesho kutakua na joto kali sana?, tunaomba uthibitisho

    Tangazo Kesho kati ya saa sita na saa tisa, patakuwa na joto kali sana linalohadiriwa kufika nyuzi joto 40, Hivyo utulie nyumbani au ukajitulize kwenye fukwe za bahari, Kwa wale watakaoukuwa nyumbani hakikisheni watoto wanaogeshwa kwa maji baridi tena mara nyingi. Madirisha yote yaachwe...
  10. M

    Ajira kwa kinadada

    Natafuta mdada wa kuniuzia grosaly npo Mbeya maeneo ya ilomba mawasiliano anichek kuptia 0713796951 0755638950# Edit
  11. M

    Ajira ajira kwa mdada Umri 18_25

    Natafuta mdada wa kuniuzia grasaly npo Mbeya maeneo ya ilomba awe anaumli elekeze hapo juu mawasiliano anichek kuptia 0713796951 0755638950#
Back
Top Bottom