Mwalimu wa Geography

Mlimandora

Member
Nov 19, 2015
45
19
Habarini wanajamii forum kwa Majina naitwa Shadrack Kitalika. Ni muhitimu chuo kikuu Teofilo Kisanji TEKU ngazi ya degree nimesomea BAED (bachelor of Arts with education) masomo yangu ni History and Geography
Nilikuwa naombeni nafasi ya kufundisha Shule ya secondary popote pale Tanzania naahidi kujituma kwa kadri ya uwezo alionipa MUNGU kuinua taaluma kwa kushilikiano na walimu wenzangu kwa Shule husika nitakayo ipata kwani ukiachana na hio pia nimesoma Shule ambazo zimenifundisha nidhamu na kujituma hvyo nitakuwa mfano bora kwa wanafunzi na kuongeza ufaulu
Kwasasa nipo mbeya kwa mawasiliano ntafute kupitia namba 0755638950
Nawatakieni majukumu mema katika kulijenga taifa
 
Habarini wanajamii forum kwa Majina naitwa shadrack kitalika. Ni muhitimu chuo kikuu teofilo kisanji ngazi ya degree nimesomea BAED (bachelor of Arts with education) masomo yangu ni History and Geography
Nilikuwa naombeni nafasi ya kufundisha Shule ya secondary popote pale Tanzania naahidi kujituma kwa kadri ya uwezo alionipa mungu kuinua taaruma kwa kushilikiana na walimu wenzangu kwa Shule husika nitakayo ipata kwani ukiachana na hio pia nimesoma Shule ambazo zimenifundisha nidhamu na kujituma hvyo nitakuwa mfano bora kwa wanafunzi na kuongeza ufaulu
Kwasasa nipo mbeya kwa mawasiliano ntafute kupitia namba 0755638950
Nawatakieni majukumu mema katika kulijenga taifa
Mkuu Mungu akutangulie ktk utafutaji wa ajira. Angalau wewe umeonyesha kuitetea vizuri elimu uliyoipata kwa kuandika kwa ufasaha japo kuna vikosa vya hapa na pale lakini una nafuu kuliko yule jamaa wa "hesabu" na "geographia".

Marekebisho madogo:
1. Majina ya watu au taasisi huanza na herufi kubwa.
2. Jina la Mungu huanza na herufi kubwa.

3. Nilipokupiga nyekundu jaribu ku-edit kwa kurekebisha matumizi ya "r" na "l"
Nikutakie kila laheri ila hata zikitokea nafasi maeneo nilipo ntakufahamisha.
 
Piga simu hapa walimu wao wengi wanaenda masomoni 0757601473 Hii inaitwa st mathias ipo kgoma ...
 
Mkuu Mungu akutangulie ktk utafutaji wa ajira. Angalau wewe umeonyesha kuitetea vizuri elimu uliyoipata kwa kuandika kwa ufasaha japo kuna vikosa vya hapa na pale lakini una nafuu kuliko yule jamaa wa "hesabu" na "geographia".

Marekebisho madogo:
1. Majina ya watu au taasisi huanza na herufi kubwa.
2. Jina la Mungu huanza na herufi kubwa.

3. Nilipokupiga nyekundu jaribu ku-edit kwa kurekebisha matumizi ya "r" na "l"
Nikutakie kila laheri ila hata zikitokea nafasi maeneo nilipo ntakufahamisha.
Asente kiongozi
 
Back
Top Bottom