Mtoto wa miezi kumi kumaliza lita ya maziwa kwa siku moja

Mlimandora

Member
Nov 19, 2015
45
19
Hiv et mtoto mwenye umli w Miez kumi anaweza maliza kunywa maziwa yenye ujazo wa lita moja kwa siku au
 
Attachments

  • IMG_20160427_091434_707.JPG
    IMG_20160427_091434_707.JPG
    32.6 KB · Views: 71
Wangu miezi 7 alikuwa anagonga bila wasiwasi ltr 1 tena ya maziwa ya mbuzi
 
Hiv et mtoto mwenye umli w Miez kumi anaweza maliza kunywa maziwa yenye ujazo wa lita moja kwa siku au

Anaweza kumaliza Lita Moja ya Maziwa.... Ila ni wakati wa huyo mtoto kupewa vyakula vingine mbalimbali....ili apate virutubisho vya kumtosha
 
Back
Top Bottom