Mlimandora
Member
- Nov 19, 2015
- 45
- 19
Tangazo
Kesho kati ya saa sita na saa tisa, patakuwa na joto kali sana linalohadiriwa kufika nyuzi joto 40,
Hivyo utulie nyumbani au ukajitulize kwenye fukwe za bahari,
Kwa wale watakaoukuwa nyumbani hakikisheni watoto wanaogeshwa kwa maji baridi tena mara nyingi.
Madirisha yote yaachwe wazi.
Ahsanten