Mama na mtoto wanyongwa, wachinjwa kinyama kijiji cha Kaole, Bagamoyo

Mlimandora

Member
Nov 19, 2015
45
19
Watu wawili mama na mtoto wamenyongwa hadi kufa kisha kuchinjwa kama kuku maeneo ya Kaole jion ya jana.

Habari kutoka Kaole; Majira ya saa 12 jioni jana, ilipita pikipiki eneo hilo ikiwa imepakiza watu watatu, dereva wa nne! Wanaume wawili, mwanamke na mtoto.

Walipofika eneo la darajani, porini kidogo, pikipiki ilipaki, watu wote wakashuka ndipo hatua za utekelezaji mauaji hayo zilianza.

Inadaiwa kwamba, Mama na mtoto wake walinyongwa Kwanza kabla ya kuchinjwa shingoni mithili ya kuku!

Lakini wakati mauaji hayo yakitekelezwa kulisikika makelele porini ambapo baadhi ya wananchi waliyoyasikia walielekea huko ndipo walipokutana na wauaji hao wakiwa na majambia yaliyoloa damu wakitokea porini.

Walipowaona watu hao walikimbia na kuacha pikipiki yao ambayo inashikiliwa Polisi. Katika eneo la tukio, mbali na pikipiki pia kulikutwa simu tatu za mkononi na mkoba wa mwanamke aliyeuawa.

Kwa mujibu wa taarifa, watu hao ni wageni Kaole na mpaka sasa bado miili yao haijatambuliwa!

Picha zinatisha mno ndio maana hazijatumwa humu kama una ndugu yako mwenye mtoto wa kiume umri miaka 3-5 halafu kapotea mazingira ya kutatanisha jitahidi kufuatilia.

==== Update ====

Watuhumiwa watiwa mbaroni

1a.png

2a.png
 
Watu wawili mama na mtoto wamenyongwa hadi kufa kisha kuchinjwa kama kuku maeneo ya kaole jion ya leo
Habari kutoka Kaole;
Majira ya saa 12 jioni leo, ilipita pikipiki eneo hilo ikiwa imepakiza watu watatu, dereva wa nne! Wanaume wawili, mwanamke na mtoto.

Walipofika eneo la darajani, porini kidogo, pikipiki ilipaki, watu wote wakashuka ndipo hatua za utekelezaji mauaji hayo zilianza.

Inadaiwa kwamba, Mama na mtoto wake walinyongwa Kwanza kabla ya kuchinjwa shingoni mithili ya kuku!
Lakini wakati mauaji hayo yakitekelezwa kulisikika makelele porini ambapo baadhi ya wananchi waliyoyasikia walielekea huko ndipo walipokutana na wauaji hao wakiwa na majambia yaliyoloa damu wakitokea porini.

Walipowaona watu hao walikimbia na kuacha pikipiki yao ambayo inashikiliwa Polisi.
Katika eneo la tukio, mbali na pikipiki pia kulikutwa simu tatu za mkononi na mkoba wa mwanamke aliyeuawa.

Kwa mujibu wa taarifa, watu hao ni wageni Kaole na mpaka sasa bado miili yao haijatambuliwa!
Picha zinatish muno ndo maana hazijatumwa humu kama unandugu yako mwenye mtoto wa kiume umli miaka 3-5 tafadhali afu kapotea mazingira ya kutatanisha jitahidi kufwatilia

Kwenye red ni "umri"
Matukio haya yanasikitisha kwa kweli. Mungu awarehemu.
 
Labda walikuwa wanaigiza, kweli kuna mtu mwenye roho ya ukatili namna hiyo siamini labda uweke picha
 
Duu binadamu ni wakatili sana unaweza ukapishana na simba asikufanye chochote mbele ukakutana na binadamu ndio anakuua...hao watapatika vidhibiti vyoote hivyo..
 
Hii habari nimeikita face book. inasemekana mke alimuambia mume huyu mtoto siyo wako. mume ndio akachukua uamuzi huo.
 
Aisee hata kama, kuchinja mtu haikua suluhisho hata kidogo. Huyu jamaa alaaniwa na akishikwa mahakama ijitahd ili hukumu yake iwe kuchinjwa na yy halaf soon
hii habari nimeikita face book. inasemekana mke alimuambia mume huyu mtoto cyo wako. mume ndio akachukua uamuzi huo.
 
Back
Top Bottom